Hii tabia ya wanawake watu wazima kuoga pamoja yaani bafu moja imekaaje?

Si jambo jema sana hasa kwa siku za leo ambapo kumekua na Tabia nyingi za hovyo kati ya watu wa jinsia moja

Enzi zetu watu kuoga pamoja haikuwa shida kabisa, Lakini Nyakati hizi Tafsiri ya jambo hili si njema

Wataeleweka ni WASAGAJI TU
 
ni jambo la kawaida tu katika jamii zetu unless umeshajitengenezea tafsiri tofauti kichwani
 
hapo naomba uchangie bila jazba.

Bila jazba, maoni yangu ni kuwa kama siyo mazingira ya vyuo au mashuleni, hiyo tabia ni mbaya na naweza kuihusisha na kale ka mchezo ka les..
Sioni logica ya watu wazima wa jinsia moja kuoga pamoja kwenye mazingira yasiyo niliyoyataja hapo juu.
 
chuoni kulikuwa na bafu moja kubwa vidume tulikuwa tukioga kwa pamoja huku tukipiga story za kumwaga. Ukiwa mwoga au dushelele ni aina ya sweta basi unaoga na kyupi. Pia kijijini kwetu wakubwa kwa wadogo jinsia moja tunaoga pamoja iwe mto nabili, kisimani kagera msaki, bwawani kwa salumu ama ziwani. Ni kawaida mwamba tembea uone

hivi wenye sweta wanaogopa kujulikana kama wanalo au kuonekana nalo,maana ukioga na kyupi wanaanza kukushuku.
 
Siku hizi dunia imebadilika sana,zamani ilikuwa ni kitu cha kawaida tu vijana either wakike kwa wakike au kiume kwa kiume wanapoanza maisha kushare chumba kimoja na hata kitanda kimoja,mpaka hapo wanapoweza kila mtu kwenda kivyake,lakini kwa siku hizi watu hawakawii kufikiria tofauti.

Hata kuoga hakuna tatizo ila fikira za watu
zimesha chakachulika.
 
Yaani mfano nyumbani unakuta labda mke mtu na mdogo wake wa kike wanaga pamoja bafuni au?Kama ni hivyo kwangu ni jipya hilo!!Kumbe wanafanya hivyo eenh??
 
watu tunachelewa mishe....
mi bibi angu alikuwa akiingia bafuni nakoma lazma anicheleweshe tu
make anakaa chini, aanze kujikwatua miguu na jiwe yani kuoga si chini ya masaa mawili
mwanzoni nilikuwa navumilia, ila baadae akiingia namgongea tunaoga wote
 
Mnaoga tu kwani cha ajabu nini..
Given circumstance ambayo inabidi muoge in the same bathroom same time,naoga tu sioni shida..me since way back shule hata kufunga mlango bafuni nilikuwa sipendi,vibafu vya shule vidogooo afu nijifungiemo,akuu
 
watu tunachelewa mishe....
mi bibi angu alikuwa akiingia bafuni nakoma lazma anicheleweshe tu
make anakaa chini, aanze kujikwatua miguu na jiwe yani kuoga si chini ya masaa mawili
mwanzoni nilikuwa navumilia, ila baadae akiingia namgongea tunaoga wote

wacha wee, kwahyo ulikua unamsaidia kumsugua mgongon au?
 
Back
Top Bottom