kuna muda mahamuzi yako uwa yanakosa nguvu mbele ya roho zinazokuhusu kwakua nazo uwa zinaitaji usawa kwaiyo kiujumla mafanikio yanaitaji kwenda sawa na roho zinazokuhusu
mkuu na uyakumbuke maneno yangu mausiano ya kimapenzi na sigle mother ni kwa ajiri ya kujiburudisha tu na si vinginevyo kama endapo utakaidi maneno yangu basi kuna siku nyingine utakuja kushusha nyuzi nyingine ya maumivu makali mno na mimi nitakuombea dua tu
ni kweli kabisa akuna kitu ambacho kina manufaa fulani alafu kikakosa madhara ata mimi kuna kipindi nadhani nilipelekeshwa sana na nguvu nilioiamsha kwaiyo ndugu zangu walikua wananiambia kuna muda uwa naongea vitu ambavyo avieleweki kwaiyo walisema nimechanganyikiwa akiri ila mimi nilikua...
mimi ni mdau mzuri sana wa kumeditation na kwakweli meditation ndio inaongoza maisha yangu najikuta tu nachomoka kwenye majanga mazito kwasababu ya miongozo ya ajabu sana na kwasasa nina uwezo wa kuona taswila ya vivuli vya wanadamu ambavyo vimezagaa sana kila mahala nafikili ni roho za watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.