Recent content by Camel2

  1. Camel2

    Give me a job, i suffering consequences

    RAS simba anafundisha kwa kiswahi hiki kinhereza au Kiswangilishi.
  2. Camel2

    Wana Yanga SC Wenzangu hivi ni mpaka lini Simba SC itaendelea 'Kutunyayasa' namna hii katika Usajili? Tuwafukuzeni upesi GSM na Msola watuachie Timu

    Si Dhani kama mwandishi ni Shabiki wa Yanga .Hizo zilikuwa tetesi Yanga hawakuwahi kutangaza kumhitaji Larry ni tetesi kama ukisikia Arsenal wanataka kumsajili CR7 za weza kuwa za kweli au zisiwe za kweli .Tusilazimishe walete wachezaji ambao watakuja kuvurunda kama Yikpe afu tukawalaum. Acha...
  3. Camel2

    YANGA yakasirishwa na SIMBA SC, kumsajili BM33, watoa tamko

    Hao wenyewe TFF aka Kichechefu ni Simba Damu .
  4. Camel2

    Taratibu zipi zinafaa mtu kuhama chuo?

    Naomba kufahamu iwapo kuna mtu alikuwa anasoma chuo kipo A lakini kutokana na changamoto hakuweza kumalizia kutokana na majukumu. Siwezi kuwa naendelea na Masomo katika chuo hicho nataka nikahamie sehemu iliyo karibia na sasa ni mwaka wa 4 anataka kuhama chuo chenye course zinazoendana ili...
  5. Camel2

    Pongezi kwa TANESCO Dodoma, wanatatua matatizo ya wateja kwa wakati

    Hakika wanastahili haswaa Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Camel2

    Nchi za Magharibi zazidi kushangazwa na kinga waliyokuwanayo WaAfrika dhidi ya virusi vya Corona

    Nashukuru sana Mwenyezimungu kuniumba Mwana Africa wale waliojivunia uzungu na kufanya uvaguzi sasa wanaona Mungu anavyotulnda Watu wake.Sisi waafrika si chochote ila ni Ulinzi kutoka kwa Mungu. Anajua hatuna hela ya Kupulizia Dawa mitaani na Barabarani so acha mungu aendeleee kutulnda Viumbe...
  7. Camel2

    Yanga inaenda kufa kifo cha mende?

    Team wanatakiwa waajiri Mtendaji mkuu Ambae ataisaidia team na Afisa masoko watakao saidia team kupata vyamzo vipya vya Mapato .hela yote ya sasa ya team inaishia kwenye Band na Posho.kwa Mashabiki.Kikubwa viongozi wajitathmini suluhisho kuwa na team uenye ushindani na ishindani hautakiwi kuwaza...
  8. Camel2

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Mwanzo wa Arsenal kuanza kuamka na kuanza kutembeza kichapo kwa sasa .Team ina hali mbaya Koacha na wachezaji wote wanatafuta namna bora ya kuridi kwenye kiwango usiku wa leo naiona Arsenal yenye ushindi mnono wa Mabao 3 -1. Moja ya Mpinzani inaonesha ubovu wa Beki ya Arsenal kuwa yanaijika...
  9. Camel2

    Why broadcast in Tanzania are not live on Twitter?

    In Tanzania most of them their are not intereted on twitter they Prefer to use other socia networks rather than Twitter. Twitter is considered as the elite and educated.
  10. Camel2

    Dar: Basi la Abood limepata ajali na kupinduka maeneo ya Kimara-Temboni

    Mkandarasi anapofanya anatakiwa kuweka alama zinazoonesha kwamba kuna kazi inafanyika na kuonesha Tahadhari kiwa hairuhusiwi kupita eneo hilo.
  11. Camel2

    Kaptula la Marx: Unafahamu kwanini kitabu hiki kilipigwa marufuku? Waandishi wetu na Siasa zetu

    Waandiahi wa zamani walipewa uwezo wa kuchambua na kidadisi Mambo.
Back
Top Bottom