Nina simu yangu ya Samsung GT-S5603 imegoma ya touch screen imegoma kabisa kusense kwenye kioo,nashindwa hata kuitumia,ipo ipo tu,naombeni msaada wenu kwa wale wenye kujua jinsi ya kuitengenezea ama ni mafundi gani wazuri wanaweza kuitengeneza.asanteni sana.
Good erabolation,I guess something went wrong when Tz mainland and Tz Isles united,we have to sit down and discuss in details so as to reach the acceptable and satisfactory answer for the mass.
Ufisadi,ubadhirifu etc wa viongozi una mwisho(na sio mbali ni hivi punde tu)kwn hawa viongozi wetu Wanaruka sarakasi wakati wamevaa Taulo,Sisi ndio wasimamizi wa mtihani siku ya kupiga kura na tunajua majibu yao,Tusubiri 2015,jibu litapatikana. Mungu wabariki watanzania masikini na waliokosa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.