Vazi la waziri limeharibu kabisa siku yangu

TIQO

JF-Expert Member
Jan 8, 2011
13,787
2,078

Yaani waziri unavaa kitoto mpaka pindo za chupi na mahaga yanaonekana mbele ya hadhira kweli!!!
Sasa hapo vijana wetu wanajifunza nini na tunapata tafsiri gani hapo? Jamani nimesikitishwa sana na vazi la waziri na ameniharibia siku yangu waziri anapaswa kuwa kioo cha jamii mambo ya fashion, kuuza sura hayatakiwi kwa kioongozi wa serikali mzito kama wewe uliye pewa dhamana na rais.
 
hahhhaha jaman pozi tu alilosimamia ndo mana imeonekana .......hahhahhaa:laugh:
 
Biashara ni matangazo na matangazo ni biashara kubwa sana.
 
Yaani waziri unavaa kitoto mpaka pindo za chupi na mahaga yanaonekana mbele ya hadhira kweli!!!
Sasa hapo vijana wetu wanajifunza nini na tunapata tafsiri gani hapo? Jamani nimesikitishwa sana na vazi la waziri na ameniharibia siku yangu waziri anapaswa kuwa kioo cha jamii mambo ya fashion, kuuza sura hayatakiwi kwa kioongozi wa serikali mzito kama wewe uliye pewa dhamana na rais.

halafu huyo afande wa kwanza kushoto macho na mawazo yanashabihiana na mawazo ya mtoa mada

Mnamwonea bure mama wa watu mwacheni afanye kazi...tukianza kujadili amevaa nini Twiga stars haifiki popote.

Binafsi sioni tatizo kabisa kwenye vazi lake zaizi ya watu kutafuta sababu ya kumjadili,

mawaziri kioo cha jamii wanavaa vizuri lakini baadhi yao ndo watuhumiwa wakuu wa ufisadi....sasa hapo ndo penye issue sio vazi alilovaa
 
Back
Top Bottom