Recent content by callixtus

  1. callixtus

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Diwani Athumani si tu ni Polisi bali ni Afisa wa Usalama wa Taifa

    Kwani tiss wa mkoa na wilaya huwa hawajulikani? Kwani kazi yao inaathiriwa na kujulikana tiss wa ngazi ya chini ndo hawapaswi kujulikani achen majungu Namuamini MAGU!!!! Endelea kuwabana huy ndiye rais wa ahadi Sent using Jamii Forums mobile app
  2. callixtus

    JamiiForums Tanzania Ni kawaida shingo ya mtoto wa miezi minne kuwa haijakaza?

    angekuwa hakai sawa ila kama anakaa huo in mwili ana asili ya unene tuu ondoa shaka
  3. callixtus

    JamiiForums Tanzania Norfloxacin na pombe

    inachukua Siku ngapi baada ya kumaliza dozi hi ndo unywe pombe?
  4. callixtus

    JamiiForums Tanzania Nilimaliza dozi ya Norfloxacin siku 5 zilizopita. Je, naweza kunywa pombe?

    Wapendwa Leo nauanza Mwaka sasa nimemaliza dozi jtano na Leo in Siku ya 5 naweza kupiga mvinyo?
  5. callixtus

    JamiiForums Tanzania Ni kawaida shingo ya mtoto wa miezi minne kuwa haijakaza?

    Kabla ya vote je umejaribu kumkalisha at least sekunde tano? kama analia sana,na hakai jitahidi kuwa karibu na daktar hilo tatizo lilishatokea kwenye familia yetu kama halii na anakaa kidogo itakuwa ni unene
  6. callixtus

    JamiiForums Tanzania Ni kawaida shingo ya mtoto wa miezi minne kuwa haijakaza?

    Kabla ya vote je umejaribu kumkalisha at least sekunde tano?
  7. callixtus

    JamiiForums Tanzania Mikopo kwa vyuo vya diploma

    Asanteni kwa ufafanuzi
  8. callixtus

    JamiiForums Tanzania Mikopo kwa vyuo vya diploma

    Msaada jamani kunamkopo wa diploma kutoka bodi ya mikopo
  9. callixtus

    JamiiForums Tanzania Nacte vipi?

    Naomba kufahamixhwa kuhusu post za awamu ya pil ya vyuo vya diploma na chsti
  10. callixtus

    JamiiForums Tanzania Wachezaji 100 bora wa muda wote watajwa

    afrika mbona sijaona au sijui majina hata drogba au george wear
  11. callixtus

    JamiiForums Tanzania Nakutakia kila la heri Wallace Karia lakini usimsahau Ally Mayai Tembele

    Hii ndo Tanzania bhana ingekuwa mashabiki wa soka la Tanzania tungekuwa tunapiga kura mayay angekuwa rais ila huko kwa wenzake lazima wampige chini ila jamaa anakubalika sanaaaa kika la kheri mayay
  12. callixtus

    JamiiForums Tanzania Tulipoambiwa watumishi hewa...

    kiingereza cha nini mbona china wanapeta
  13. callixtus

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kujiunga na mafunzo ia ualimu

    goloko kudanha
Back
Top Bottom