Msaada kuhusu kujiunga na mafunzo ia ualimu

Naomba mwenye kujua sifa za kusoma chuo cha ualimu ngazi ya cheti, kwa matokeo ya GPA, sababu kwenye guide book za nacte hawajafafanua.

Sent using Jamii Forums mobile app
Zamani ilikuwa inaishia four ya 27 ila nazani waziri wa elimu alibadili, nazani kwa sasa lazima uwe na credit 3 ndo sifa hizo, ila kwa uhakika zaidi piga simu chuo chochote cha Serikali upate information sahihi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa yale matokeo ya 4m4 2014.. inatakiwa uwe na G.P.A ya 1.6 kupanda juu...
sijui umeelewa hapo ...!
 
Back
Top Bottom