Ili nifanye kazi TFDA, nisome kozi gani ngazi ya diploma?

Finder

JF-Expert Member
Dec 7, 2016
376
423
Naomba kujua kwa mtu atakaye fanya kaz TFDA( ukaguzi wa vyakula) anaweza kusoma koz gani na vyuo gan vinatoa koz hiyo kwa ngaz ya diploma ??
Msaada wa mapema unahitajka plz...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom