Recent content by Callixte

  1. C

    Holliday Inn DSM mnawagongea wateja ovyo usiku, sio kila mtu malaya.

    Mtoa mada atakuwa mlevi huyo! Jf sio kuingiliwa tu naona imebakwa na machizi badala ya kutoa hoja za msingi unaleta udaku humu! Nyau wewe.
  2. C

    Kama tanzania tulitaka twiga wetu warudi kwanini wanyarwanda wasirudi kwao kunanini tanzania ?

    Kama Tz imeshindwa kujitawala hata wenzetu black watatutawala nchi ishauzwa we endelea kufikilia watusi kurudishwa kwao inakula kwako fanya jitihada utoke kivyako kama unategemea sirikali imekula kwako. Viongozi hawajali maslahi ya nchi, hawajali raiaa. Hawajali rasimali za nchi ndo kama hao...
  3. C

    Mtikila: Kagame amepenyeza Wanyarwanda 35,000 Tanzania, Burigi, katika Wilaya ya Muleba

    Chuki juu ya watutsi waacheni watumie akili zao kufanya mambo yao. Sasa kam tz tumelala tunasubiri moaka tuamshwe acha wajanja wale vyao. Big up Mseven na Kagame.
  4. C

    Bora ukoloni urudi kuliko CHADEMA

    Wewe naona ni kibara wa ccm! Sijui umetumwa! Tungekuwa wote tunafikiria kama unavyofikiri tungekuwa matahira wote ila sio kosa lako paka shume wewe!!
  5. C

    Oneni upuuzi wa Sugu

    Aliyeleta mada katumwa na ccm.
  6. C

    Rais anachagua vipi misiba ya kuhudhuria?

    Mwanzisha mada naona hujafukiria vizuri! Kila siku wanakufa watu wengi sana kwahiyo rais unataka ahudhurie misiba yote ataweza? Inategemea huenda hao walifariki akiwa katika majukumu ya kitaifa hata hivyo ana utashi wa kuamua ni msiba upi ahudhurie. Acha lawama kwa mr president bana!!
  7. C

    Mtikila: Kagame amepenyeza Wanyarwanda 35,000 Tanzania, Burigi, katika Wilaya ya Muleba

    Mtikila anakurupuka! Huo waraka wake hauna msingi wowote! Kama vip aache dini aingie kwenye siasa! Mshika mbili moja humponyoka! Tz inalinda mipaka yake na usalama wa raia ila ni chuki zakae binafsi na kutaka kuchafua ccm. Mtikila a.k.a wa kutoa hoja zisizo na msingi.
  8. C

    kwa wasio na ajira walio Dar es salaam inatuhusu.

    Cha msingi mkutane mjadiliane namna ya kutoa hiyi michango ikiwa ni pamoja na kufungua acc maalumu kwa ajili ya michango hiyo ili kuepuka pepo la kupotea nazo.
  9. C

    Makinda atabiria kifo CCM

    huyu bibi kadata si kidogo maana yeye mwenyewe ndo amekuwa kiongozi wa kukiua chama kwa kuzuia mijadala muhimu bungeni na ccm waliingia chaka kwa kumteua kuwa spika sijui hata vigezo ilikuwa ni nini spika wa ukweli alikuwa mh!6.
  10. C

    Greetings

    Habari zenu wana jf. Mimi nimependa sana jinsi mnavyoelimishana na kupeana updates. Mimi ni new member na ninadhani tutaendelea kubadilishana mawazo. Thanks
Back
Top Bottom