Hi Socrates,
Wengi wetu tumekuwa tukishindwa kusoma vitabu kwa kigezo cha kukosa muda kutokana na kuwa busy na utafutaji n.k, Je nkisema sio kweli nitakuwa nakosea..!?
Twende pamoja, Najua wengi wetu kila asubuhi tunawahi makazini au kwenye mihangaiko na kurudi jioni na pia wengi wetu...