Recent content by Calcium carbonate

  1. Calcium carbonate

    JamiiForums Tanzania Je, inawezekana kupata GPA 5.0 chuo?

    mwanaume kupata GPA ya 5 ni woga wa maisha..legends tunapata mwisho 2.7 afu michongo inaendelea kama kawa
  2. Calcium carbonate

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Heri ya mwaka mpya
  3. Calcium carbonate

    JamiiForums Tanzania Muhimbili campus ya Tanga iko sehemu gani

    Ahsante xn
  4. Calcium carbonate

    JamiiForums Tanzania Muhimbili campus ya Tanga iko sehemu gani

    Shukran mkuu
  5. Calcium carbonate

    JamiiForums Tanzania Muhimbili campus ya Tanga iko sehemu gani

    Habari wakuu naomba kufahamu Muhimbil Campus ya Tanga ipo maeneo gani.. Mimi ni mgeni natoka Mtwara nahitaji kufika huko chuoni.
  6. Calcium carbonate

    JamiiForums Tanzania Namna ya kutambua "tego" la kunasiana

    Hahhaha
  7. Calcium carbonate

    JamiiForums Tanzania Namna ya kutambua "tego" la kunasiana

    Tupe zengne izo mkuu
  8. Calcium carbonate

    JamiiForums Tanzania Mwili wa binadamu kuchomwa moto

    sheria ya tanzania inatambua zile cultural acts ambazo zinafanywa na jamii zetu as long as haziingilii mamlaka yake au hazina effect yoyote ktk sheria mama /constitution ya Tanzania..nafikir wataalam wa sheria wataeleza zaid
  9. Calcium carbonate

    JamiiForums Tanzania Fake news: Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) laomba radhi kwa kupotosha umma

    kesi ya nyani unampelekea ngedere
  10. Calcium carbonate

    JamiiForums Tanzania Selection za chuo kwa first round zitachukua muda gani kutoka?

    Hongera broo..unajua kuuliza maswali mazur xn
  11. Calcium carbonate

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu Scholarship ya Algeria kutoka TCU

    *TAARIFA MUHIMU KWA WANAFUNZI WA KITANZANIA WANAOTARAJIA KUOMBA SCHOLARSHIP YA ALGERIA* Ndugu watanzania wenzangu, hivi karibuni lilitolewa tangazo kuhusu maombi ya scholarship ya Algeria kwa ngazi ya shahada ambapo maombi yake yatapelekwa kupitia *TCU*. Madhumuni ya kuandika taarifa...
  12. Calcium carbonate

    JamiiForums Tanzania walio chaguliwa galanos

    Nimechaguliwa hapo galanos...nitafute hapa 0769544596
  13. Calcium carbonate

    JamiiForums Tanzania Mwanangu anaweza pata shule ya advance kwa matokeo haya

    Kiukweli hawezi kupata xul mpaka awe ana credit 3..ata akienda private bado mwisho wa cku hatoweza kufanya mtihani wa form 6
  14. Calcium carbonate

    JamiiForums Tanzania waliopata 26 up to 27 wataenda ADVANCE KWA MWAKA 2012

    Kijana acha huo ujinga wa kufikiri hivyo....haitatokea kamwe wenye 4 wakaenda advance....hata TUME yenyewe inachunguza nini kifanyike kuwanusuru hao waliobaki sio tuwafanyie nini hawa walio kwisha ondoka....we jipange uende chuoni au kama una hamu na kupita advance karudie form 2 ni hayo tu
  15. Calcium carbonate

    JamiiForums Tanzania Toa ushauri wako hapa kwa huyu kamanda

    Yuko vizuri huko nyuma
Back
Top Bottom