Mwili wa binadamu kuchomwa moto

Mwili wa binadamu kuchomwa moto

Hayo majivu ya huyo maiti aliyechomwa wanayatambuaje? Coz hua yameshachanganyika na majivu ya magogo yaliyotumika kumchomea!!
Huo huo mchanganyiko wanauchukuwa kwa maana ni vigumu sana kutenganisha..
 
Je, mwili wa binadamu kuchomwa moto Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatambua na hicho kitendo.

Mwili ukishachomwa majivu yanapelekwa wapi kwa taratibu na mila zetu mtu akipata ajali hata akisagika kabisa au kubaki majivu unazikwa hivi hivi.
Nadhani ni kama suala la imani................ haiiingilii
 
Vipi kuhusu ule moshi unaochanganyikana na mwili wa binadamu wakati anachomwa una madhara yeyote kwenye mazingira au kwa watu walio karibu na eneo hilo ambao wanaweza kua wakati wanavuta hewa/pumzi wakavuta na huo moshi?

Kwa mwenye uelewa please atujuze.
Nenda baa kisha nenda jikoni wanakochoma nyama utapata majibu yako km moshi una madhara yoyote.
ushambiwa chura, nyoka, konokono na mbwa watu wanapiga.
Yani jamaa kashika breki kusema na binadamu anapiga pia.!!
 
Nenda baa kisha nenda jikoni wanakochoma nyama utapata majibu yako km moshi una madhara yoyote.
ushambiwa chura, nyoka, konokono na mbwa watu wanapiga.
Yani jamaa kashika breki kusema na binadamu anapiga pia.!!
Majibu kama moshi una madhara huwezi kuyapata baa bali utayapaka hospitali baada ya kufanyiwa vipimo.
 
Si jambo baya na wala si geni, hata hapo nyuma miili ambayo ilikua haipo claimed baada ya muda flani ilikua inatumiwa kwenye research, sema kama nakumbuka vizuri sheria ilikua mwili kama ni wa hapa bongo unatumiwa nchi nyingine, na nchi nyingine wanaleta huku ili isijetokea unaenda kusoma medicine alafu sample inakua mwili wa mtu unayemfahamu. Mtu akifa kafa, kama kuna njia yoyote ya mwili wake kuleta manufaa kwa walio hai sioni sababu yoyote kutokufanya hivyo, basi tu linakua complicated coz linadeal na hisia za watu.

Pale udom mwaka 2009 niliona miili imeletwa kwa ajili ya watu wa medicine kwenye human anatomy
 
Inaeleza heshima ya MWANADAM
haijaeleza heshima ya MAITI!..
Mbona hujauliza kwanini wenzetu hawaziki na jeneza? au kwanini tunazika na jeneza kama sio ufujaji wa mbao na hela!.
 
Kuna njia nne kuzika mwili mfu, burial, burning,mummification,na throwing into deep sea.
 
sheria ya tanzania inatambua zile cultural acts ambazo zinafanywa na jamii zetu as long as haziingilii mamlaka yake au hazina effect yoyote ktk sheria mama /constitution ya Tanzania..nafikir wataalam wa sheria wataeleza zaid
 
Ni utamaduni wa IMANI yao.....hakuna haja ya kujadili hapa.Simamisha huu mjadala au ufutwe kabisa.
 
Back
Top Bottom