Recent content by Calaboca

  1. Calaboca

    Mbowe aenda na jina la Msigwa mfukoni, Olle Sosopi atemwa

    Sijaona hoja muhimu zaid ya majungu, mapovu, wivu, stori ndefu kama ya Erick shigongo [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  2. Calaboca

    Mwigulu Nchemba usilalamike, Wewe ni mmoja wa waanzilishi wa siasa za "kuchafuana" na "kutesana"

    Kuna wimbo unaitwa CHOZI LA haki ameimba Ambwene Mwasongwe. Sikilizeni. Mtauelewa
  3. Calaboca

    Mwigulu Nchemba usilalamike, Wewe ni mmoja wa waanzilishi wa siasa za "kuchafuana" na "kutesana"

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Savimbi
  4. Calaboca

    Naomba kufahamishwa kuhusu mji wa Philadelphia

    Nikigoogle ni mwendo wa Kiingereza tupu. Ningependa kupata maelezo kwa Kiswahili. Ndio MAANA nikaja humu
  5. Calaboca

    Focus Saanane: Ninamtaka Mwanangu Ben akiwa hai, amlaumu Mbowe

    Kati ya makosa ambayo Mbowe yatamgharimu, ni hili la kupotea kwa Ben. Then akakaa kimya. Kiukweli sababu zinazotolewa hazina msingi wala mashiko, kwa hapa sitaki ushabiki
  6. Calaboca

    Naomba kufahamishwa kuhusu mji wa Philadelphia

    Tatizo kimalkia ndio shida
  7. Calaboca

    Nipokeeni uwanja wa ndege kwa wale Dar natoka Uingereza kimasomo

    Wingereza[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1] [emoji1]
  8. Calaboca

    Naomba kufahamishwa kuhusu mji wa Philadelphia

    Nilimaanisha kwa wale walioishi na wanapagahamu. Nataka kujua mazingira yao, utamaduni wao, na mambo mengine
  9. Calaboca

    Naomba kufahamishwa kuhusu mji wa Philadelphia

    Kwa anaepafaham, utamaduni wao, vp watu weusi, lugha. Na mengineyo
  10. Calaboca

    CCM waanza mkakati wa kukamata wanaochoma kadi za vyama vya siasa

    [emoji23] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji115] [emoji115] maswali mengine yA kichokozi hadi Mungu hapendi
  11. Calaboca

    Mashabiki wanao Mshindanisha Diamond na wasaniinwengine Wa bongo hii ndo Fursa

    Thubutu!!! Hakuna promota anaweza kuingia kwenye huo mtego. Mond wanamjua vizuri.na kimoyomoyo wanamkubali Sent from my TECNO-Y2 using JamiiForums mobile app
  12. Calaboca

    Mke wa balozi mtamu

    Mtawafanya mabalozi watuchukie mtaani[emoji4]
  13. Calaboca

    Serikali kujenga kiwanda kipya cha matairi, kuitosa General Tyre ya Arusha

    [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji12]
  14. Calaboca

    Spika Ndugai katika Hija Israel akutana na Spika wa Israel

    Usipaniki kaka.. Sasa alimtafuta Spika wa israel kwa kazi gani? Au spika wa israel ni kuhani?
  15. Calaboca

    AIBU YA MTU MWEUSI: Chama Cha Siasa Kuwa Omba Omba Kwa Wazungu Ili Kupata Pesa !!!

    Naona watu wenyeakili zao wanajenga hoja zenye mashiko. Af wanasahau kuwa lumumbaz hawahitaji hoja. Wao wanachojali ni kuwa wametumia bando zao, zile za buku saba ya siku. Hiyo ndio kazi yao.
Back
Top Bottom