Naomba kufahamishwa kuhusu mji wa Philadelphia

PHILADELPHIA ni mji sasa sijuwi mtu atakwambiaje kuhusu mji maana umechanganyika kwa kila kitu. State inaitwa PENNSYLVANIA.
 
Nilimaanisha kwa wale walioishi na wanapagahamu. Nataka kujua mazingira yao, utamaduni wao, na mambo mengine
 
Nikigoogle ni mwendo wa Kiingereza tupu. Ningependa kupata maelezo kwa Kiswahili. Ndio MAANA nikaja humu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom