Spika Ndugai katika Hija Israel akutana na Spika wa Israel

chongchung

JF-Expert Member
Jun 23, 2013
3,753
2,000
SPIKA NDUGAI AKUTANA NA SPIKA BUNGE WA BUNGE LA ISRAEL

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Ndugai katika picha ya pamoja na Spika wa Bunge la Israel (Knesset) Mhe. Yuli Yole Edelsten wakati Mhe. Spika alipomtembelea Bungeni hapo. Mhe Ndugai yupo nchini Israel kwa ibada ya Hija.(Picha na Ofisi ya Bunge).
 
MENGELENI KWETU

JF-Expert Member
Oct 23, 2013
8,945
2,000
Mhimili wa Bunge letu kwa sasa unapita katika kipindi kigumu sana.
Serikali haijali kabisa na kuipa hadhi yake Bunge letu.
 
LESIRIAMU

JF-Expert Member
Feb 12, 2008
6,115
2,000
Anaenda hijja wakati wanasigina katiba na kufanya bunge liwe kama rubber stamp???
 
treborx

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
4,634
2,000
Atembelee pia bunge la Israel ili ajifunze mambunge vya vyama vingi yanavyoendeshwa...
 
Mzalendo2015

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
5,480
2,000
Hiyo hija ameenda kwa gharama za nani?
Hata mie nashanga! Tunachojua bosi wao alishawakataza sijui kaendaendaje huko asije tu akatumbuliwa!
Angalizo: Israel ni nchi takatifu hivo asije akarudi hapa kwenye Bunge la Jan,2017 aendeleze upuuzi na Bi Kigagula HajaTulia watapata pigo la laana!! Oohoo, Israel ni taifa teule la Mungu!
 
Calaboca

Member
Dec 18, 2016
19
45
Umechanganyikiwa ww. Bunge live na mambo ya Mungu kuna uhusiano gani. Uwe na heshima na imani za wenzako. Huna adabu!!,,
Usipaniki kaka.. Sasa alimtafuta Spika wa israel kwa kazi gani? Au spika wa israel ni kuhani?
SPIKA NDUGAI AKUTANA NA SPIKA BUNGE WA BUNGE LA ISRAEL

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Ndugai katika picha ya pamoja na Spika wa Bunge la Israel (Knesset) Mhe. Yuli Yole Edelsten wakati Mhe. Spika alipomtembelea Bungeni hapo. Mhe Ndugai yupo nchini Israel kwa ibada ya Hija.(Picha na Ofisi ya Bunge).
 
kigogo warioba

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
5,596
2,000
Umechanganyikiwa ww. Bunge live na mambo ya Mungu kuna uhusiano gani. Uwe na heshima na imani za wenzako. Huna adabu!!,,
ok, sawa.! kwanini hajamtafuta mtu baki na wasalimiane nae..? kwanini ni hii picha na tukatupiwa humu? kwa hayo tu, unatakiwa kuzishika adabu zako za [HASHTAG]#urithi[/HASHTAG]
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom