Recent content by cabsul

  1. C

    JamiiForums Tanzania Sisi sio ngoro tena

    Ukimaanisha kuwa tayari vipovikosi vimeandaliwa kwa hio vurugu??? Mnatishia vurugu sana watanzania na yaonyesha hata kisu hakijawahi kukukata
  2. C

    JamiiForums Tanzania Maswali tata kifo cha Mchungaji Mtikila

    Kweli kwa ajali ionekanavyo na maelezo mafupi uliyotoa naungana mkono nawewe kua ajali ichunguzwe kwa kina... Naona wengi tumejikita ktk kuchambua namna ya ajali zinvyokua na ufaji wa mtu,kwangu hio haina mashiko zaidi.. Ila ukweli uchunguzi wakina ufanywe na kuna majina flani yawatu yametajwa...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Sasa itoshe basi,CCM na Bulembo acheni kutusakama Walutheri

    Wewe jamaa ni mbaguzi tena mbaguzi haswaa... Bulembo alichoongea ni kukemea ile kauli ya lowasa na kauli za gwajima kwa barua ilitolewa na taasisi ya akina khalfani.... Unaonyesha dhahiri kutoitakia mema nchi yetu..... Watu kama ninyi ndio mnafanya watu tuchukue kupiga kura kwa upinzan 7bu...
  4. C

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

    Mungu ailaze roho yake pema..... Mungu alitoa nayeye ndie ametwaa
  5. C

    JamiiForums Tanzania Ndege za Kivita angani, nini sababu?

    Kumbe kunaukomo wa nyakati kwa jeshi kurusha ndege zao....?!!!! Hatkupewa taarifa kumbe kunakanuni inayopelekea jeshi kutoa taarifa kwa wananchi pindi ikirusha ndege zake ama tukio lolote la kijeshi???!!!.. Asante kunijuza hayo sikulijua ilo kama lipo nchin kwa usemi wa nchi ya amani
  6. C

    JamiiForums Tanzania Unamfahamu Halifa Hamisi, kiongozi wa Taasisi ya kiislamu iliyotoa tamko la Imam Bukhary?

    Nilijua alichoongea kiongoz yule wa dini hayakuongelewa na Gwajima pamoja na rafiki yke Lowasa.... Udini na udhehebu alioueleza ndio twaka majibu kutoka kwa wahusika sio mtu wa mtaani tu.... Kumbuka kunamaisha baada ya uchaguzi na mwisho wa ubaya daima aibu......
  7. C

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya Kiislam yatoa tamko dhidi ya Lowassa na Gwajima, kuhusu Uchaguzi Mkuu 2015

    Duuuh....nawewe unajiita muislam????
  8. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Niende s/Africa au Mauritius?

    Kaka achakuropoka ninaishi cape town na hio ndio naul halali ya Tz to cape bus ya company ya Falcon wanatoza dollars 100 ..... Na kama unaakili za kutumia Taqwa kumbuka haiingii harare till watakapomaliza kesi yao.... Kinachotuumiza watazania ujuaji mwingi.... Ninapozungumzia usafiri...
  9. C

    JamiiForums Tanzania UKAWA waongea na Waandishi wa Habari kuhusu Utafiti wa TWAWEZA

    Last ya tafiti ni 25 kelele hazisaidii kitu
  10. C

    JamiiForums Tanzania Over 710 people killed, 863 injured outside Mecca in Hajj crush

    Unajitambua mkuu????
  11. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Niende s/Africa au Mauritius?

    Nenda south.. Fikia cape town 7bu miji mingine sifahamu mizunguko yake sijawahi iishi... Kaa mbali na wabongo na wanaijeria(wapopo)...... Fikia hoteli zilizopo biavo... Ila kama mfuko ni mnene nenda watarfront kunasehem za wanene zaid za kulala..... Usiende kwenye vitaven vya biavo ila kale...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Afya ya akili! Tume ya uchaguzi iwapime wa gombea wetu wa Urais

    Hahahahaaaaaa.......
Back
Top Bottom