Mkwawabongo
Senior Member
- Jul 28, 2015
- 154
- 116
Hawa jamaa wa NEC inabidi waelewe kuwa ili kuepuka vurugu amabao unaweza kuathiri hali za kiuchumi Tanzania inabidi wacheze fair game, wakijaribu kubeba timu moja tu inaweza kuleta vurugu ambazo zitahatarisha maisha ya watu wengi wasiostahili. Wale ng'ombe wasiojiweza na wanaobebwa kila mahali ndio ngoro na sisi Watanzania sio aina hiyo. Nchi ni yetu sote na sio ya JK, NEC, Chadema na CCM.
Kuweni makini narudia kuweni makini.
Kuweni makini narudia kuweni makini.