monges
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 1,040
- 392
Mbona umeonekana mtu wa ajabu sana, mwanzo niliona kama mtu mwenye hekima hivi, du kumbe ni walewale, tufikie mahala kila mtu ajitambue na awe mkweli, tunaweza kusonga mbele, ukiona mtu mzima tena anajipambanua kuwa alikwenda na familia yake, lakini alichoandika du, siku zote tunapenda kujadili tulipoangukia badala ya pale tulipo jikwaa, nilidhani kitendo cha Lowasa kuwambia KKKt kwamba safari hii ni zamu yao, ilipaswa kukemewa kwa nguvu zote, na kwa watu kama nyie wenye familia, lakini ukimya umetawala kwa muda mrefu, hatujasikia viongozi wa KKKT wakikemea, ss Bulembo anakosa gani, au ww dhambi ulioiona ni kwa Bulembo ila mwanzilishi wa dhambi hiyo alikuwa sahihi sana kwa mtizamo wako co, haya ndo Mwl.Nyerere aliwahi kutamka maneno haya"WAJINGA" nadhani utakuwa umenielewa vema mzee wa familia. Mbona haukemei kauli za Mbowe za kawe juzi au ulikuwa umezipa masikio?