Wadau Mwaka 2021 umekua na majonzi na mambo mengi, tumbushane watu maarufu waliotutoka mwaka 2021
1. JPM
2. Bakari Mwakapachu
3. Prof Mathew Luhanga
4. Zakaria Hanspope
5. Asas
6. Haruni Zakaria
7. Summry
8. ....
Heshima mbele wadau
Najua hapa kuna manguli wa kutosha na wazee wa kusuka private cars pale wanapofanya safari.
Kuna wazee wa Druti za Dar - Arusha, DOM-DAR, DOM -MBEYA, DAR MWANZA. Wakati tukielekea msimu wa likizo mwezi Disemba.
Share uzoefu wako, ni safari gari umewahi kwenda kwa muda...
Msaada kwenye tuta
Nina kagari kangu naona rangi kama inafifia ila bado si mbaya sana.
Napenda kujuzwa yafuatayo hasa kutoka kwa mtu ambae ameshafanya polishing au waxing kwenye gari yake
1. Polishing na waxing ni kitu kimoja au tofauti,
2. Je, mtu akifanya waxing au polishing kwenye gari...
Wakuu nimekutana na hii kitu, majirani zenu na watani wa jadi wamezuiwa kuingia Dubai (UAE)
Africa pia zimo Libya, Tunisia na Somalia.
=====
The United Arab Emirates has stopped issuing new visas to citizens of 13 mostly Muslim-majority countries, including Iran, Syria and Somalia...
Heshima Mbele wadau
Kuna bwana mdogo kachemsha pepa najaribu kuona namna ya kumsaidia.
Naomba kuulizia kituo cha maandalizi/tuition center kizuri kwa maandalizi kilichopo maeneo ya Goba au Mbezi Mwisho kwa ajili ya mwanafunzi anaetakiwa kurudia NECTA Form 4.
Masomo Geography, History...
Mambo muhimu, machache niliyojifunza kipindi hiki kifupi cha Corona
European/Whitemen are not always right as we always been set to believe
Wazungu hawapo sahihi kwa kila jambo kama ambavyo tumekuwa tukiaminishwa miaka yote. rejea Lockdown approach- wamejingia sasa wanatoka nje pamoja na kuwa...
Innos’B ama Innocent Balume kwa jina kamili ndio Bwana mdogo anaebamba sana kwenye anga za Afro Beats (Afro Congo) kwa sasa.
Amevuma sana na kibao chake cha Po-Ye (uchek hapa link). ambacho hata Msanii wa kizazi kipya Dimond ameomba wakirudie pamoja (wafanye remix).
Remix ni mbinu wasanii...
Heshima mbele wadau,
Najua hapa jamvini kuna manguli wa kila ainaHivyo basi napenda kuomba msaada wako/wenu kujaziwa hiyo questionnaire kwenye link hapo chini.
Hii ni kwa maajili ya masomo ya uzamili, ni fupi na inachukua chini ya dakika kumi...
Heshima mbele,
Kama mnavyojua saizi ndio muda wa watoto kwenda shule, napenda kujua shule nzuri english medium maeneo ya Ubungo, Mabibo, Sinza au Kijitonyama. Shule nzuri na karo yake pia inaeleweka.
Ahsanteni sana.
Heshima mbele wadau
nina ka project kangu ka ujenzi wa ghorofa moja simple. sasa imefikia wakati wa kumwaga jamvi kwenye msingi kabla ya kuanza kupandisha tofali. Napenda kujua nawezaje kupata mawe kwa bei ya chini. Ninazo namba za madereva malori ila kila mmoja ananitajia bei za juu sana. site...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.