Recent content by c h o l o

  1. c h o l o

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ananiongelea vizuri kwa Mama Mkwe

    Fanya kweli... ila ningekuwa mimi ningehtaj kufahamiana na ma mkwe. Huko kusifiwa huenda nkapata na mengine kama bonus
  2. c h o l o

    JamiiForums Tanzania Mliozaliwa kuanzia 1990 hadi 1997 someni hapa, msome Kwa umakini

    Usitupangie maisha mkuu. Sio mda baba angu atastaafu😁😁. Nadhan umenielewa.
  3. c h o l o

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ananiongelea vizuri kwa Mama Mkwe

    Apo mbona simple mkuu... fanya hv, muoneshe kuwa unampenda sana af siku akikuweka kwenye target akupige kizinga mkwepe, sema huna ela... reaction yake apo ndo itakupa jib. Akiwa mkali shtuka bro... badilisha gia
  4. c h o l o

    JamiiForums Tanzania Ninawapenda sana walimu wangu

    Kumbe ulifika hadi chuo kikuu.... bas sawa
  5. c h o l o

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "Uchumi wa kati" hapa mjini. Akina dada ni wewe na akili yako tu

    Ile hukumu ya kunyongwa hadi kufa bado ipo au waliifuta?
  6. c h o l o

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usimrudishe kwao, yamalizeni ndani

    Salaam wakuu. Binafsi sijaoa ila inaeleweka kuwa ndoa zina changamoto nyingi sana zinazowesha kusababisha kupishana kauli, kupigana (sometymz), kunyamaziana n.k.... Nawapa kisa kimoja Miaka miwili ilopita, nilikuwa nikimtongoza manzi flan hv (hapa tumwite mary) alokuwa na kila sifa ya kuitwa...
  7. c h o l o

    JamiiForums Tanzania Luana Alves na Lela Star wameacha kazi?

    VPN kumbe. Shkamooni sana
  8. c h o l o

    JamiiForums Tanzania Luana Alves na Lela Star wameacha kazi?

    Ndo mana sikuelewa, mana mimi sipendi mambo ya siasa
  9. c h o l o

    JamiiForums Tanzania Luana Alves na Lela Star wameacha kazi?

    Hao mnaowajadili wanafanya kaz gani wakuu😂😂
  10. c h o l o

    JamiiForums Tanzania Yaweza kuwa binadamu akifa huzaliwa na kuwa kiumbe kingine

    Mimi nakataaaa... Basi kama n hvyo, wanyama wangekuwa na utashi kwa kiasi flan na wangekuwa na effect ya mazingira kulingana na vile walivyoishi walipokuwa binadamu Mfano, fisi ambaye enzi za uhai wake alikuwaga ni mangi muuza duka pale moshi mjini, angezaliwa porini na angetumia mda wake...
  11. c h o l o

    JamiiForums Tanzania Uhuru una mipaka Jiheshimu Mkuu

    Kwan walikuwa wajinga kuruhusu ID fake?. Ww post jambo, pitia reply znazokufaa, zngine ziangalie tu. Hii ndo maana ya Jamii Forum, kila tabia iliopo kwenye jamii utaikuta humu. Ko akili kumkichwa. Shenz typ
  12. c h o l o

    JamiiForums Tanzania Madaktari nielewesheni hapa natumiaje hii dose ya Azuma vipo vidonge 6

    Kwani wote mlioreply hapa ni madaktari?. Na kama sio, mmejuaje kuwa AZUMA inatibu Gono na U.T.I sugu??. Wote bas mshawah kutumia hio dawa. ACHENI NGONO ZEMBE, mtakuja mfwe mbwa nyinyi😁😁
Back
Top Bottom