Recent content by byeson

  1. byeson

    Wakina dada wa JF acheni kufunga pm zenu

    Eeh karbu ujifinze..
  2. byeson

    Morogoro: Lori la Mafuta lapata ajali na kulipuka, watu 104 Wapoteza maisha na wengine kujeruhiwa...(Picha zinaogofya)

    Hivi unadhani Ni kipi kifanyike kuepuka madhara yatokanayo na ajari mathalani ajari za magar ya mafuta yanayopinduka!
  3. byeson

    Wakina dada wa JF acheni kufunga pm zenu

    Haya Niko hapa dodoma chamwino somewhere called buigiri after mtumba Kama ukitoka ddoma town, karbu korosho
  4. byeson

    Uhamiaji watangaza ajira

    Soma vizuri hyo barua ya kukakunisha Ni ya mwez gan. Then utaelewa
  5. byeson

    Uhamiaji watangaza ajira

    Idara ya uhamiaji yatangaza Fursa za ajira. Kuangalia sifa na maelezo zaidi pitia website ya www.jkt.go.tz..
  6. byeson

    How America became great!?

    Ahsante ,,,Nimeshadukua hapa. LAKINI it's not open Kama yalivyomataifa mengine makubwa kiuchumi
  7. byeson

    How America became great!?

    Nimekuwa nikisoma na kusikia kivipi mataifa makubwa kiuchumi Kama China(under Mao the don), uingereza( mapinduzi ya viwanda) yalivoweza kutoka from zero to hero kwa kuonesha struggle walizozipitia Kama taifa. Sijapata kujua vipi America ili rise.na kufika Hapo ilipo mpka kuwa taifa tishio...
  8. byeson

    Sasa nimeiona tofauti ya JWTZ na majeshi mengine.

    Kumbe na Mimi mchina eeh!?[emoji1787][emoji1787]
Back
Top Bottom