Jeshini uzalendo kwanza.Nimekmbuka jkt jinsi wajeda walivokua wanawasha moto kisha twaambiwa tukauzime,jinsi makuruta wa kujitolea walivyokua wanafyatua tofali ambazo hazina idadi na matumizi yake hayajulikani----- aa samahani matumizi yanajulikana ambapo mojawapo ndo zile ndizi tulkua twaletewa