Recent content by byabatos

  1. byabatos

    Ni kweli Nissan X-trail zina tatizo la umeme?

    Nimetumia X-trail kuanzia ina 25km mpaka sasa ina 160,000km. Ukiwa nayo fanya yafuatayo= 1. Pata original engine oil. (super nissan) 2. Original oil filter, air filter. 3.Heshimu muda wa Services per oil instruction. 4. Tumia diagnosis machine inapoleta tatizo sio kubahatisha kwa mafundi...
  2. byabatos

    Njia katili ya kumwacha mchepuko msumbufu

    Mwambie tu ukweli usiwe sitaki nataka
  3. byabatos

    Anataka nimpe mimba azae na mimi ila ni mkubwa kwangu

    Huyo atazaa na wanaume wangapi? Make hao watoto kazaa na wanaume kwa kuwaambia maneno kama hayo. Kwa ushauri wangu usidhubutu , mshauri aongeze kwa baba wale wa kwanza.
  4. byabatos

    Hatimaye Bwanaharusi Aliyekimbia Ndoa Kanisani Arejea na Kufunga

    Umeonae? Hapo hakuna mke wa mme mmoja Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
  5. byabatos

    Hatimaye Bwanaharusi Aliyekimbia Ndoa Kanisani Arejea na Kufunga

    Sasa mbona kajitwisha tena matatizo? Au ndo watakua wanachangia mke mmoja?
  6. byabatos

    Nimekata shauri, navuka boda kutafuta wife, wajuzi karibuni kwa ushauri

    Nimekaa Rwanda 3yrs, Burundi 2yrs, Drc, 2yrs mpaka lugha zao naongea vzr, unaweza kuni PM ukajiokoa au ukajiua.
  7. byabatos

    Kama amenichoka aniambie niende kwetu

    Ahaaa ushauri mzuri kaka lakini hako kasentence ka mwisho kameniacha hoi.
  8. byabatos

    Pale ungo unapofeli..

    [emoji2]
  9. byabatos

    Kwa ulaji huu, wife mwambie mdogo wako(shemeji) arudi kijijini

    Ndg we una bahati hata kumpata mtu anayekula. Mimi watoto wamenichosha kila siku utakuta ugonvi nyumbani hawataki kula mikate wala Maya. Mpaka wabembelezwe na visoseji kidogo hadi mama yao ukasirika. Kwa bahati hiyo pamoja na uchumi mugumu jitahidi nunua hata mikate mitano mikubwa leta hapo...
  10. byabatos

    Mimi black na mke wangu black mtoto kazaliwa na nywele za kiarabu

    Broo tulia kwanza usipanic kama ni swala la nywele zitaota tena, baada ya muda utasikia tu kupitia redio mbao kutoka kwa watazamaji, sasa hapo itakua ni wewe kujirekebisha kosa ulilofanya.
  11. byabatos

    Yanayotokea Muhimbili ni kweli?

    Mh! Ni hatari make mwenye kipato cha chini hiyo hela ni ndefu mno. Kama unalipwa 1.5laki,means ujikusanye bila kutumia sent 1yr. Very sad.
  12. byabatos

    Yanayotokea Muhimbili ni kweli?

    Hicho chumba una lala wewe (mgonjwa) na familia yako ah? Ni VIP unaomba? Sijakuelewa vzr hapo mkuu make nilikua na homa nahisi kama imekatika
Back
Top Bottom