Ni kweli Nissan X-trail zina tatizo la umeme?

PongLenis

JF-Expert Member
Sep 17, 2010
427
133
Habari zenu wana JF

Najua humu nitapata jibu kamili....
Mimi napenda Sana Nissan X trial ila naambiwa kwamba Zina matatizo mfumo wa umeme, kuna wengine wanadai kuna mpya ambazo hilo tatizo wamerekebisha, kama kweli Ni kuanzia mwaka gani na je hilo tatizo la umeme nikweli au Habari ya kusadikika?

Ahsanteni
 
Nimetumia NISSA X -TRAIL before, hili gari sio common saaana Tanzania, na maana yake ni kwamba kupata fundi mzuri sana (MZURI SANA) wa kutatua tatizo vyema yaweza kuwa changamoto (Niamini mimi hakuna fundi Tanzania anayesema hawezi, na utajua hawezi akishakuharibia gari)

Nissan haina shida, ila yaitaji kuheshimu sana service and get right people unapokuwa na tatizo. Kama gari litakuwa la mkono mmoja, unasimamia service zozote, wafanya service kwa wakati, then utalifurahia. Ukileta tu gumashi imekula kwako. I would rather get a Toyota Kluger or similar car, because nothing special with X- TRAIL, but the price is chini kidogo compared to the rest.

Hapa hapa na mimi ngoja nichomekee langu, vipi kuhusu Toyota brevis engine ya D 4.na hizi toyota mark X zina matatizo gani
 
Nimetumia NISSA X -TRAIL before, hili gari sio common saaana Tanzania, na maana yake ni kwamba kupata fundi mzuri sana (MZURI SANA) wa kutatua tatizo vyema yaweza kuwa changamoto (Niamini mimi hakuna fundi Tanzania anayesema hawezi, na utajua hawezi akishakuharibia gari)

Nissan haina shida, ila yaitaji kuheshimu sana service and get right people unapokuwa na tatizo. Kama gari litakuwa la mkono mmoja, unasimamia service zozote, wafanya service kwa wakati, then utalifurahia. Ukileta tu gumashi imekula kwako. I would rather get a Toyota Kluger or similar car, because nothing special with X- TRAIL, but the price is chini kidogo compared to the rest.

Umejibu vema kiongozi. Jibu lako linakua msaada kwa wengi
 
kama una hela chukua RAV4 OLD 1995-1999 3s engine direct from japan mbona mpaka wajukuu wataikuta
 
Nimetumia X-trail kuanzia ina 25km mpaka sasa ina 160,000km.
Ukiwa nayo fanya yafuatayo=
1. Pata original engine oil. (super nissan)
2. Original oil filter, air filter.
3.Heshimu muda wa Services per oil instruction.
4. Tumia diagnosis machine inapoleta tatizo sio kubahatisha kwa mafundi waya.
5.Vitu vingine ni kawaida.
Ila inadumu na haiharibiki hovyo.
Mpaka sasa naitumia na nimezunguka Tz nzima sijapata shida, inakimbia na haiyumbi barabarani.
Mwisho kwa gari yoyote usinunue iliyocho, na model ya kizamani, nenda na wakati mkuu.
KARIBU.
 
nimeipenda hii
 
Vipi kuhusu miguu na matumizi ya barabara ya vumbi?
 
Back
Top Bottom