Recent content by By hair

  1. By hair

    Lowassa: Tutachukua nchi asubuhi

    Lakini Jk Jana nae alisema Ccm itashinda kwa mbinu zozote zile.hakusema watashinda kwa kura.
  2. By hair

    Dr. Magufuli, tafadhali badili hotuba

    Lakini huku mitaani tunaambiwa baada ya lowasa kutoingia tano,timu lowasa ndiyo ikaamua kumnchinjia baharini membe,na kumpigia kura magufuli,ili wote wakose.na kwamba hata magufuli hakuwa chaguo la jk.sasa Kama ndiyo hivyo kweli alikuwa hajajiandaa.kuchukua form hata prof kalokola alichukua,form...
  3. By hair

    Lowassa amtaka Zitto UKAWA

    Kweli kabisa
  4. By hair

    Ushauri kwa Lowassa

    Leo nilikuwa saloon moja,Jamaa mmoja anasema team lowasa wote ni watu wa Dili,wapo nae kwaajili ya pesa,kwamba ni wepesi kuhamia kambi nyingine watakapoona kwa lowasa ni pagumu.
  5. By hair

    Yatakayoweza kujitokeza baada ya wagombea kujulikana kwa Umma!

    Ni kweli ila kwa huu utaratibu wa uandikishaji kweli tutapiga kura,wameamua kuanza kuandikisha mikoani,kwenye majiji ambapo kuna watu wengi wanataka kujua kuburuza buruza tu,
  6. By hair

    Mbowe: Lowassa ni dhaifu, ni bubu

    Kweli kabisa,hakusema lolote.ila kuna kipindi akasema Tuko tayari kuingia vitani na Malawi ,kipindi kile cha mgogoro Kati ya TZ na MALAWI.watu wakamuuliza yeye ndiye yupo tayari ama sisi Watanzania .
  7. By hair

    Kikwete: Katika utawala wangu, ni Wizara ya mambo ya nje pekee ambayo haikunisumbua

    Post yake ni fupi tu.lakini Kama uwezo ni mdogo kuchanganua,ndio inakuwa Kama wewe
  8. By hair

    Kikwete: Katika utawala wangu, ni Wizara ya mambo ya nje pekee ambayo haikunisumbua

    Amesahau kwamba yeye ndiye aliyekuwa akifanya kazi ya wizara hiyo,badala ya waziri husika.Sasa itamsumbuaje kazi aliyokuwa anafanya yeye mwenyewe.
  9. By hair

    Pale unapokuta mkeo katuma picha zake za uchi kwa mwanaume mwingine

    We unaonaje kwa mtazamo wako..?, Maana sisi tu washauri ila wewe ndo mwenye mamlaka ya mwisho...
  10. By hair

    Najuta kuoa mwanamke mwenye mtoto

    Pole sana mkuu,dah maisha ya ndoa noma.kwanza ujue bado Ana uhusiano na huyo bwanaake wa zamani,ila wewe una Moyo,Mimi pale nilipopeleka zawadi nikaambiwa wailikuwepo wazazi wake,ilikuwa ndiyo mwisho kulipa Ada,mwisho hapo hakuna tena ndoa,piga chini tafuta mwangalizi wa madogo,ila usioe tena,
  11. By hair

    Wanaume wengi hupenda kuoa wanawake wenye sura za kawaida sana/sio wazuri, sijui kwanini?

    Si warembo mmnawaona mitaani wanafanywa nyumba ndogo,wa kuopoa na kuacha,uzuri wao huwa unawadanganya,wakija kushituka wanaitwa anti,hujukaa sawa Yule mama.
  12. By hair

    Tumedanganywa

    Kasema kweli
  13. By hair

    Ajali Mbeya: Zaidi ya watu 23 wafariki kwenye ajali iliyohusisha Hiace

    Hizo ndizo habari za mjini,kwamba ajali hizi zinahusiana na uchaguzi,kila siku mmhhh
  14. By hair

    Ajali Mbeya: Zaidi ya watu 23 wafariki kwenye ajali iliyohusisha Hiace

    Kweli kabisa,unavyosema kuna tatizo tena kubwa tu
Back
Top Bottom