"Xenophobia is selective. Not all people are
subjected to violence. When they ask you where
are you from and you tell them that you are a
Tanzanian, they do not touch you. Mr.Membe
Said
hata kama kayasema... Hayo si maneno ya kidiplomasia kwa waziri wa mambo ya nje.
Kwa hiyo kwa kuwa hakuna watanzania waliouawa, anamaanisha waafrika wengine ni halali kuuawa!!??
Afrika tumekuso viongozi
Hili joka la mdimu lazima something is wrong upstairs!!
Kama Membe kasema hayo na anafurahi, hafai kuitwa mtanzania. Kama mnamzushia kwa malengo yenu basi nyie ndo hamfai hata kidogo
Huyo ndio Membe bwana aliyeneemeka na nepotism,halafu jitu kama hili nalo linataka uraisi,keeli Kikwete kainajisi taasisi ya uraisi na nchi yenyewe!!!!
Kwa lugha nyingine.........So is tanzania goverment wanaunga mkono hii mambo huko south?