Wakimpitisha makongoro jimbo linapotea kabla ya uchaguzi na madiwani tunakosa jimbo lote.... wasituleteee uhuni....aliyepita ni kamanda dada anatropia katibu wa jimbo sasa kuna fitina zinafanywa na mwenyekiti na viongozi wengine wa jimbo wameahidiwa milions of money na makongoro wampitishe yy...
watanzania ni wanafiki sana mbona auhulizi Pasco anasubiri nini na co wenzake wa radio ya mawimbi walijinasibu wapo upande wa mzee EL ... mzee akichukua maamuzi magumu utaona mikia yake inavyounga msururu..... wakati mwingine akili za watanzania nizakipekee
mi uwaninawasifia hata kama ni wabaya kwani awajijui unadhani wengine unakuta reception na usafiri zerooo inabidi umsifie na yeye kama ni zuzu lazima achanganyikiwe
mkuu soma mwenyewe huyu mmakonde nijembe la ukweli
http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2365454/Chelsea-apologise-Brazil-Ramires-confusion.html
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.