WE ARE ANONYMOUS
JF-Expert Member
- Mar 23, 2015
- 217
- 284
1. CHADEMA wana nguvu kubwa sana Tanzania (Bara), wana uhakika wa kuwa na wabunge wa kutosha, na chama chao kimepenya interior zaidi tena kuliko hata CCM (Shahidi Kikwete alipoongelea suala la kujiandikisha)
2. Iwapo hakutakuwa na UKAWA, yaani kila chama kikasimama kivyake, CUF huku Tanzania Bara hawataambulia kiti hata kimoja, pona ya CUF ni kuachiwa baadhi ya majimbo na CHADEMA na kufanya kampeni ili wanaoinga mkono CHADEMA waiunge mkono CUF.
3. Kwa utaratibu wa mgawanyo wa Kimuungano wa Tanzania, Raisi akitoka Bara, makamu wake atoke Zanzibar, hivyo, iwapo raisi akitoka CHADEMA, na makamu wa raisi akitoka CUF (Zanzibar of course) itakuwa imekuwa balanced zaidi kuliko Raisi akitoka CUF na makamu wake atoke CHADEMA lakini kutoka Zanzibar. Hapa namaanisha wanasiasa machachari wengi wa Zanzibar ni CUF, ukilinganisha na CHADEMA, likewise CUF huku bara hakuna wanasiasa machachari.
4. OLE wenu CUF, mtake kumsimamisha Lipumba simply kwa sababu John Magufuli ni mkristo kwamba muamini mtapata kura za waislam, forget about that!!! Na mtaambulia aibu ya karne!!
Hii naizungumzia kwa sababu kuna wana CUF nimewasikia wakiweka hii hoja, na ndio maana pia CUF wanatumia nguvu zote na fitna kuhakikisha nafasi zote za uraisi bara na visiwani wanataka wao, huku upande wa pili waking'ang'ania kwamba mgombea wao ana sifa zaidi!
Ni hayo tu usiku wa leo!!