Recent content by bwitege

  1. B

    JamiiForums Tanzania Star tv leo mmetoa somo kwa TBC 1

    Kwa hiyo magufuli kwenda kusali imekuwa breaking news?
  2. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yalaani dhamira ya Serikali kukataza Mikutano ya hadhara ya vyama vya Siasa

    Unataka nchi, ni marekani baada ya Obama kushinda uchaguzi as mhula wake wa mwisho republican pamoja na democratic wlianza mchakato wa nani atamrithi Obama. Na sasa moto umekolea.nenda Kenya jirani zetu wanasiasa wote wako kwenye pilikapilika za 2017.huwezi kutenganisha siasa zifanyike...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Wananchi wamshauri Magufuli kuongoza vipindi vinne mfululizo

    Hayo ni mawazo ya mtoa mada.alifanya utafiti wapi? Tunahitaji kama magufuli katika kipindi chake ajenge taasisi ambayo kila MTU atawajibika bila kusimamiwa.tulisema mfumo ndio tatizo.magufuli anafanya vizuri ila mfumo ujengwe kila MTU atakayepata uongozi awajibike. Mfano marekani kila raid...
  4. B

    JamiiForums Tanzania CCM inabidi ijitathimini kuhusu uteuzi wa wagombea ubunge

    Hivi umeelewa hoja uliopo mezani? Au na wewe in jipu.
  5. B

    JamiiForums Tanzania CCM inabidi ijitathimini kuhusu uteuzi wa wagombea ubunge

    Kwa hiyo wabunge wore wa ccm hawaendi kasi ya magufuli.basis haya in maajabu.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Waganda watunga wimbo wa kumsifu Dr. Magufuli

    Tunataka matokeo ya haya yanayofanyika.hakuna MTU anayepinga juhudi anazofanya mkuu wa Maya.ila matokeo chanya ya kila jambo analofanya ndio itakuwa kipimo cha kusifu au la.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Tuzo za Lowassa ni mkono wa kwaheri katika siasa za nchi hii

    Lizabon wewe unamzidi nini lowassa.unaropoka bila kujitathimini.lowassa ni mwanasiasa anayeijua siasa.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Je, viongozi wa CCM wanajali zaidi maslahi ya chama chao kuliko maslahi ya Taifa?

    Umeandika ukweli mtupu.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Magufuli, tupambane tuachane na kutegemea misaada!

    Huyu aliyetoa hii Mada ni pumba kweli.tukiwekewa vikwazo na tukitengwa na nchi za magharibi fedha yetu itakuwa kama ya Zimbabwe. Hao China na Japan mbona hawamsaidii Mugabe.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Meya wasababisha vurugu kubwa Tanga

    Breaking news ITV sasa imetangaza kumetokea vurugu kwenye ukumbi wa mkutano uliokuwa umewakutanisha madiwani wote wa jiji la tanga.madiwani wa cuf ni 20 na ccm 17. Wamepiga kura na matokeo yamegeuzwa kwamba ccm wameshinda kwa kura 20 kwa 17 za cuf.mkurugenzi amefungiwa ndani na askari baada ya...
Back
Top Bottom