Waganda watunga wimbo wa kumsifu Dr. Magufuli

TataMadiba

JF-Expert Member
Feb 7, 2014
9,866
5,742
Wimbo huu hapa.
[video=youtube_share;QzNepGHn2Qo]http://youtu.be/QzNepGHn2Qo[/video]
 
Kama ukitumia jicho la tatu utagundua kuwa wanafanya hivi kwa lengo la Kumn'gon'ga M7.
 
Aiseeeee.... Hongera yake Magufuli, Ila sisi tunataka Elimu bure bure kweli.
 
Magufuli ni Nabii anayekubalika kwao tofauti na ule usemi unaosema kuwa Nabii hakubaliki kwao
 
Tunataka matokeo ya haya yanayofanyika.hakuna MTU anayepinga juhudi anazofanya mkuu wa Maya.ila matokeo chanya ya kila jambo analofanya ndio itakuwa kipimo cha kusifu au la.
 
Toka magufuli aingie madarakani hajaenda hata chato, kenya wala uganda; huu ubahiri kautoa wapi. Nahisi ana damu za kipare na kikinga huyu sio msukuma
 
Uko sahihi, ni kweli ameanza vizuri lakini ni mapema kubashiri kuwa ndo kaweza
 
Lizaboni umenena, tz ni nchi ya mfano pamoja na hii,,haina umeme, rushwa eg bandarini wizi waakontena,kuua albino..
 
Toka magufuli aingie madarakani hajaenda hata chato, kenya wala uganda; huu ubahiri kautoa wapi. Nahisi ana damu za kipare na kikinga huyu sio msukuma

umesahau hao uliowataja ni wabinafsi lakini sifa ya wasukuma ni wachapakazi na wanaotenda haki na kua na huruma na upendo ndo kinachomfanya magufuri afanye yote hayo ila sio ubahili pia hao wapale sio wabahiri ni wachoyo ndio maana unaona waponhivyo walivyo
 
Back
Top Bottom