MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,701
- 71,035
Nimependezwa sana na kitendo cha star tv kuacha kurusha kipindi cha magazetini Leo na badala yake kurusha live maombi na sherehe za x-mass kanisani ambapo mh. Rais wetu JPM alikuwa akisali misa ya kwanza ya sikukuu, baada ya ubunifu huo TBC 1 nao wakaanza kurusha live kupitia star tv, kwa hiyo nawapongeza star tv na TBC1 kwa kutupa breaking news kama itv