Kushindwa kwa rais kupata mawaziri miongoni mwa wabunge wa CCM, hadi kusababisha rais kulazimika kuteua wabunge wengi, kunatia walakini katika umakini wa CCM katika uteuzi wa wagombea nafasi za ubunge.
Ana mapungufu gani huyo Edwin Ngonyani hadi uone hastahili hiyo nafasi?Amekosa kabisa watu makini hadi akamteua mtu kama Edwin Ngonyani(mb) kuwa naibu waziri wa uchukuzi.....kha!
Amekosa kabisa watu makini hadi akamteua mtu kama Edwin Ngonyani(mb) kuwa naibu waziri wa uchukuzi.....kha!
Si kwamba hakuna wabunge wa ccm wenye sifa, rais anachagua mtu anayemwamini kuwa anaweza kuendana na kasi yake?
Kwa hiyo wabunge wore wa ccm hawaendi kasi ya magufuli.basis haya in maajabu.
Waliotoa mapendekeo ya katiba mpya. Waziri asiwe mbunge waliliona hilo
Wabunge wengi wa CCM ni POKOPOKO tu, sasa ulitaka amteue Profesa Maji Marefu awe waziri wa Maji? Ulitaka amteue Mkono awe waziri wa Sheria pamoja na maskendo ya BoT na Tanesco? Ulitaka amteue Anna Tibaijuka kuwa waziri wa Fedha, licha ya pesa ya Mboga ya 10Mil? Ulitaka Chenge awe waziri wa Mawasiliano akanunue rada nyingine? Hebu twambie ulitaka Mgufuli afanyeje??????