Magufuli, tupambane tuachane na kutegemea misaada!

Magufuli, tupambane tuachane na kutegemea misaada!

Unatakaje, kuendesha nchi kwa remote ya wadhungu!

Sio suala la remoted, kwaiyo tukubali hata Magufuli akituua kama nkuruziza tuje tuandike hapa poa tuu? Nchi iendeshwe kwa sheria zinazostahiki na utawala bora. Ili wao wasipate cha kutupangia.
 
Magufuli adhibiti mianya ya ufisadi ndani ya Tanzania.
Magufuli asishindane na wazungu hiyo non of our business na wala Magufuli asije sema neno lolote kuhusu wazungu. Pesa si ni zao bwana.
Magufuli akomae na mafisadi na wazembe wa Tanzania with the iron fist.
 
Huyu jamaa kanigusa sana na natamani haya mawazo yako yasomwe na rais ama uyawasilishe sehemu fulani ili watanzania wengi wayasome. Siku zote baada ya dhiki ni faraja, tugangamale kwa ajiri ya nchi yetu, tuachane na tabia za kutunzwa ..ni aibu sana.
 
Topic bora kabisa hii ya kufungia mwaka. Ikiwa Libya waliweza why sisi tushindwe?
 
Wakati hayo yote yajifanyika...

Ahakikishe Zanzibar anapewa mshindi aliyeshinda uchaguzi huo kihalali kabisa ambaye ni Maalim Seif. Hayo mengine yatakuja yenyewe. Kwanini utoe visingizio vya kunyanyapaliwa ilhali mazinhira hayo umeyaandaa mwenyewe?

BACK TANGANYIKA
 
ulimwengu huu wa sasa sio kama ule wa zamani. kwasasaivi wazungu wanatuhitaji sana na tumeingiliana kibiashara kiasi kwamba nao wanaweza kuadhibiwa vilevile. and due to the rise of china, wana hofu sana, ndio maana rais wa china alipotembelea tu tanzania, marais wa marekani walikuja watatu (obama, bush, clinton) kwasababu wanajua kuwa tukiamua kuwatupa watakosa kitu fulani toka kwetu na ukanda huu. kwa miaka ya siku hizi, adhabu pekee watakayoweza kuifanya ni kutugombanisha sisi wa sisi wawapatie waasi silaha ili tupigane, ila mambo mengine hawawezi nakuapia.

migodini wanajibembeleza toka kwetu, gas tuliyogundua wanajibembeleza toka kwetu, na ukiwa na rais ambaye ni msafi na mchapa kazi, wanakosa hata sababu ya kukushughulikia. enzi za nyerere sio enzi hizi za kwetu. funguka.

hakuna mtu anayeweza kuamuru wafanyabiashara washushe mzigo mombasa badala ya dsm kwa bidhaa kadhaa. ujue bidhaa nyingi zinatoka bara asia kama china, singapore, japan etc, hivyo kama wamagaribi watapiga marufuku meli zao kutua dsm, basi kwa bidhaa za burundi, congo, zambia, malawi na tz yenyewe wachina wataingiza meli zao za biashara, wa singapore na wengine na tutaishi tu, na wao watapata hasara kwa kuwa na wateja wachache kwenye hizo meli zao. usiwe na hofo na kutokujiamini kiasi hicho.

Mkuu umenigusa hapo kwenye kutugawia silaha tupambane wenyewe kwa wenyewe,kwa wapinzani waliopo nchini kwetu hilo linawezekana kwa % zote
 
zanzibar haitanawiri kama bara hawajanawiri. anyway, tusiingie sana huko, lakini point uliyoitoa ni sifuri. kama wewe mzenji, rudini kwenu pemba mkatatue matatizo yenu, msitegemee tuwatatulie sisi, wenzenu kwasasahivi tunachoongea ni hapa kazi tu. na mkifanya mchezo, tutawaacha hatua nyingi sana na kisiwa chenu hicho kinachotegemea tu utalii na biashara za dsm kitakuwa makao ya popo ma wavuta unga. badilikeni.

Ingawa umemjibu jamaa alietaka mgogoro wa znz umalizwe kwa hiki ulichoandika nimekudharau sana hata mada yako pengine ulikuwa na Point ila imefia hapa unasema wazanzibar wakamalize matatizo yao wenyewe hivi hujui. Kwamba matatizo ya wale jamaa sisi huku ndio tumewasababishia.....Nakushauri usirudie tena kuandika ujinga huu.....Khs kujitegemea kama Taifa ni jambo la muhimu lkn hatuna ujanja wakukwepa mikopo wala misada hilo ni Jambo la kawaida kabisa kuna Taifa Tajiri kama Marekani mbona nao wanaishi kwa madeni...sisi tunakitugani tunazalisha hadi tuvimbe vichwa kwamba tunaweza kujiendesha...Washauri watawala pesa wanazokopa au wanazopewa msaada wazitumie kwa malengo husika sio kama upuuzi aliotufanyia mkwere
 
Hata kama tutaachana na misaada hebu atatue kwanza suala la zenji
 
Hatuwezi kuishi kwa mihemko, eti tukiambiwa ukweli ndio tujitutumue. Ni kweli tunapaswa kujitegemea, lakini sababu za kunyimwa misaada nazo zina mashiko.

Kama watu wamewekwa tu ndani kwa kosa la kujumlisha matokeo, mlitaka hao wazungu wakae kimya? Juzi Japan imeipa msaada India, ina maana tumewaacha nyuma India au?

Wakati mnajinasibu hapa na makusanyo ya bandari, mkumbuke kuwa huyo mnayemwambia akaze kamba akiumwa utamwona MBIO, yuko huko kutibiwa, hatotibiwa na Kigwangala.

Tujitegemee, lakini tuache na unafiki. Zanzibar ni AGENDA isiyopaswa kufumbiwa macho. Hizi shamra shamra za kutumbua majipu hazitoshi kuifikisha nchi tunapotaka, unless kama nia yetu ni kucheka cheka wkt wa taarifa ya habari kwa waziri kufanya kazi ya kufunga mageti.

Sasa wao wanazuia hizo hela zao kwa suasa la zanzibar wao linawahusu nini?......wao wabaguz wa kwanza mbona sisi hatujawahi kuwaambia waache kuwaua weusi bila sababu kwa kupigwa rusasi na polisi weupe?...... ishu siyo kwamba sisi hatuna cha kuwapa kwamba sisi ni maskin...ishu ni kwamba hayo ni mambo yao ya ndani.......kila nchi ina mambo yake ya ndani ambayo hayawez kuingiliwa na nchi yoyote.......kumbuka kila nchi ina matatizo yake na kila nchi ina njia yake ya kuyatatua......si let them shut up!! Songa kaka Magu........hapa kazi tu!
 
Hapo ndipo utakapomjua Mzungu ni Nani, Nyerere alikoma kwa hao na akasema kabisa kuwa hata korosho wakiamua wanaweza kutupangia bei ya kuuza.

Tena aendelee kujifanya anakomaa uone katika kipindi kigumu kuwahi kutokea katika historian ya Tz itakuwa ni hiki cha Magufuli.

Nyie wengine mnajua kuandika mithamiati tu humu, Watz kwa uchumi tunawazidi Iran? Hebu jaribu kuiangalia Zimbabwe Leo ikoje? Ushauri mbovu sana huu.

Bandari wanaoleta Leo kesho wakipigwa mkwala washushe Mombasa je utakula nini? Na dhadabu yako ukiambiwa haikidhi kiwango? Acheni kasumba za kibantu.

Umeongea kweli tupu mkuu ,tunaweza kuwafungia vioo china na Japan lakini sio mdudu usa.

Uliza kilichimkuta Zambia juzi baada kujifanya anadili zaidi na Mchina,USA alifanya figisu zake hadi kwacha ya Zambia ikaporomoka kwa 50%

Mpaka Zambia kwenda kupiga magoti USA ,napo bado hali haijarudi katika hali yake.
 
ulimwengu huu wa sasa sio kama ule wa zamani. kwasasaivi wazungu wanatuhitaji sana na tumeingiliana kibiashara kiasi kwamba nao wanaweza kuadhibiwa vilevile. and due to the rise of china, wana hofu sana, ndio maana rais wa china alipotembelea tu tanzania, marais wa marekani walikuja watatu (obama, bush, clinton) kwasababu wanajua kuwa tukiamua kuwatupa watakosa kitu fulani toka kwetu na ukanda huu. kwa miaka ya siku hizi, adhabu pekee watakayoweza kuifanya ni kutugombanisha sisi wa sisi wawapatie waasi silaha ili tupigane, ila mambo mengine hawawezi nakuapia.

migodini wanajibembeleza toka kwetu, gas tuliyogundua wanajibembeleza toka kwetu, na ukiwa na rais ambaye ni msafi na mchapa kazi, wanakosa hata sababu ya kukushughulikia. enzi za nyerere sio enzi hizi za kwetu. funguka.

hakuna mtu anayeweza kuamuru wafanyabiashara washushe mzigo mombasa badala ya dsm kwa bidhaa kadhaa. ujue bidhaa nyingi zinatoka bara asia kama china, singapore, japan etc, hivyo kama wamagaribi watapiga marufuku meli zao kutua dsm, basi kwa bidhaa za burundi, congo, zambia, malawi na tz yenyewe wachina wataingiza meli zao za biashara, wa singapore na wengine na tutaishi tu, na wao watapata hasara kwa kuwa na wateja wachache kwenye hizo meli zao. usiwe na hofo na kutokujiamini kiasi hicho.

Nikuulize maswali 2 tuu, Nani kawapangia mutoke analog kwenda digital? Nani kawapangia uchague simu ya kutumia tena hili tunaambiwa tunapewa mpk miezi6 tuu? Haya ni madogo sana.
 
Na turejeshe jina la Ocean Road katika barabara kuu iendayo Ikulu. Ni maajabu ya dunia barabara hiyo muhimu kupewa jina la raia wa kigeni utadhani tz hatuna mashujaa wetu. hata ile ya mwai kibaki irejeshwe kwenye jina la asili. Bagamoyo ina historia kubwa kwetu kuliko aliyepewa jina hilo. Ukienda uzunguni au taifa lingine linalojitambua mazingaombwe kama haya hayapo. African renaissance itaanza kwa kujitambua sisi ni nani.
 
Huyu aliyetoa hii Mada ni pumba kweli.tukiwekewa vikwazo na tukitengwa na nchi za magharibi fedha yetu itakuwa kama ya Zimbabwe. Hao China na Japan mbona hawamsaidii Mugabe.
 
ulimwengu huu wa sasa sio kama ule wa zamani. kwasasaivi wazungu wanatuhitaji sana na tumeingiliana kibiashara kiasi kwamba nao wanaweza kuadhibiwa vilevile. and due to the rise of china, wana hofu sana, ndio maana rais wa china alipotembelea tu tanzania, marais wa marekani walikuja watatu (obama, bush, clinton) kwasababu wanajua kuwa tukiamua kuwatupa watakosa kitu fulani toka kwetu na ukanda huu. kwa miaka ya siku hizi, adhabu pekee watakayoweza kuifanya ni kutugombanisha sisi wa sisi wawapatie waasi silaha ili tupigane, ila mambo mengine hawawezi nakuapia.

migodini wanajibembeleza toka kwetu, gas tuliyogundua wanajibembeleza toka kwetu, na ukiwa na rais ambaye ni msafi na mchapa kazi, wanakosa hata sababu ya kukushughulikia. enzi za nyerere sio enzi hizi za kwetu. funguka.

hakuna mtu anayeweza kuamuru wafanyabiashara washushe mzigo mombasa badala ya dsm kwa bidhaa kadhaa. ujue bidhaa nyingi zinatoka bara asia kama china, singapore, japan etc, hivyo kama wamagaribi watapiga marufuku meli zao kutua dsm, basi kwa bidhaa za burundi, congo, zambia, malawi na tz yenyewe wachina wataingiza meli zao za biashara, wa singapore na wengine na tutaishi tu, na wao watapata hasara kwa kuwa na wateja wachache kwenye hizo meli zao. usiwe na hofo na kutokujiamini kiasi hicho.

Upo usingizini unanini kikubwa cha kustua wazungu bado lofa tu Umeme unagesi lakini unataka kununua Umeme Ethiopia China ndio kila Siku tembo wetu na faru wanatowekao
 
Back
Top Bottom