Japo Umeeleza ila bado kuna vitu umevificha na ukisoma btn the line ulimkataza asimuambie mama yake sababu ya kumpigia hio usiku wa manane,Mimi nahisi ni
1. Ulitaka kumuingilia kinyume na maumbile ukiwa timamu au ulisingizia pombe
2.Ulishindwa/ uliendelea kushindwa kumtimizia mahitaji yake...
Km dunia ni flat naomba kuona picha yoyote inayoonyesha base yake yaani kama sahani naomba kuona kule palipoandikwa made in China,sehemu km hiyo kwa muktadha wa dunia.
Ningetumia falsafa ya current RC DSM kipindi akiwa Mbeya kuhusu makelele ya makanisani na baa usiku alisema "kila mtu afanye kile anachoona bora ila mwisho wa siku mmoja atamshawishi mwenzake kumfuata" km wote wanafanya biashara kihalali waruhusiwe japo vibajaji vitakuwa na foleni sana coz...
Unajua madhara ya kuishi kwa kulinda hadhi huku unakipato kidogo!!? Bro utateseka sana maana utajiwekaweka na kuishi kihadhihadhi huku unamaokoto madogo.tafta hela
Wanawake wanapenda kuinjoy the defference,ndio maana wenyewe hawaileweki,masela wanamapenzi sana hata kitandani wapo fit coz shughuli zao za kila siku zinawafanya miili na misuli malimbali ya mwili kuimarika so pia ukizengua anakuchangamsha na wanawake wanapenda mtu asietabirika.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.