Recent content by Bwenyenye254

  1. B

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu ufugaji wa samaki aina ya sato kwa vizimba(Tilapia fish farming)

    Shukrani kwa mada hii muhimu. Nina maswali machache kuhusu ufugaji wa sato kwa vizimba. 1. Unaweza kutuambia gharama za vizimba vya ukubwa mbalimbali na kila kizimba kinaweza kubeba samaki wangapi? 2. Tunaihesabuje gharama ya chakula cha samaki kinachohitajika kwa mzunguko mzima wa ufugaji?
  2. B

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Dhahabu

    They were not informal markets like in Tanzania. Hope that answers your question
  3. B

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Dhahabu

    Kwa wadau wote wa biashara ya dhahabu, hasa wale waliobobea katika ununuzi na uuzaji wa dhahabu kwa wingi (Broker na Dealer). Nimekuwa nikifikiria kuanzisha biashara ya ununuzi wa dhahabu hapa Tanzania, na ningependa kusikia ushauri wenu. Nina bajeti ya takriban shilingi milioni 400 hadi 500 za...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mashine (Crusher) La Kusaga Mawe Na Kutoa Kokoto/ Mchanga (Powder)/ Chippin

    Sijui Bongo ni vipi but import from China upto Dar es salaam itakuwa sawa na Mombasa. Also hii information ni from about 3 yrs ago. Wakati unanunua mitambo kama hiyo hoja muhimu kuzingatia ni hakikisha supplier wako wa Mitambo ana after sales support, yaani ako na country presence ili hata...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Naomba Mapendekezo ya Wasemaji bora wa Kiswahili na Vitabu vya kujifunza

    Huu ndio mtazamo wangu pia...nilipata watu kama Millard Ayo, Chalamila, Kikwete , Lowasa, Ndugai , Palamagambo Kabudi, Zitto Kabwe...lakini pia ninaweza kuwa nina-overestimate wengine kwa sababu kwa hali kawaida watanzania wengi huwa na kiswahili kitamu sana cha kupendeza Sent from my SM-G960F...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Naomba Mapendekezo ya Wasemaji bora wa Kiswahili na Vitabu vya kujifunza

    Ninashukuru sana mkuu Sent from my SM-G960F using JamiiForums mobile app
  7. B

    JamiiForums Tanzania Naomba Mapendekezo ya Wasemaji bora wa Kiswahili na Vitabu vya kujifunza

    Habari WaTanzania! Mimi ni mzungumzaji mzuri wa lugha ya kiswahili lakini si kwa kiwango cha ufasaha kama cha Watanzania. Ningependa ku-improve kiswahili changu kiwe na flow na ufasaha kama chenyu nyinyi wabongo. Kwa maantiki hiyo, naomba nianzishe mjadala hapa ambapo ningependa kuwauliza...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa namna ya kuingiza pesa kupitia Mitandao (Online)

    Kuhusu hilo swala la articles au blogging, naomba uniruhusu nisikujibu kwa sababu maoni yangu hayatokani na practical experience. Hata hivyo, naomba uende ukaangalia impact halisi ya chatgpt kwenye hiyo sekta ...Will it make you more productive or will it take away your job? Huku Kenya naona...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa namna ya kuingiza pesa kupitia Mitandao (Online)

    Tech ni broad Kuna mambo ya websites na ndani yake kuni tawi mbili.La kwanza inaitwa Front end development hiyo inadeal na muonekano wa websites na la pili linaitwa Backend Development hiyo inadeal na servers(yaani kudeploy website yako on the internet ili iwe accessible to users ) na ukiwa...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa namna ya kuingiza pesa kupitia Mitandao (Online)

    Mkuu sijui sana hapo Huwezi taka kuingia tech? Hapo ndio nilipata nyota yangu back in the day,nikipata kijana yeyote huwa ninawa-encourage sana kuingia hiyo sekta kwa sababu ni high income and u earn in dollars...u don't need networks/connections.... jihami tu na the right skills na discipline...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa namna ya kuingiza pesa kupitia Mitandao (Online)

    Bongo sijui mnafanyaje mambo yenu sana lakini Kenya ni hivi. 1. Step one ...learn a high-income skill...kama Artificial intelligence na ndani yake Natural Language Processing na Computer Vision....also learn how to deploy your models ...alafu freelance na hii upwork...ukifwata taratibu tegemea...
  12. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usalama Kenya

    Watanzania huwa mnaelewa geopolitics sana ..Mara kenya mara South africa, congo, Zambia n.k yaani mko poa tu sana Sent from my SM-G960F using JamiiForums mobile app
  13. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta mdau wa kushirikiana naye kwenye biashara yangu ya microfinance

    Mkuu nina swali....what is the minimum core capital ya kuanzisha a deposit taking microfinance bank in Tanzania. Ninapata conflicting figures mara Tsh 20 Million mara Tsh. 5Billion. Huku Kenya a deposit taking micro finance bank with 1 branch ni Tsh. 400M while a country wide one ni Tsh. 1.8...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania: The Sleeping Giant

    U took the words right out of my mouth....Tanzania should be a $300B+ economy, GDP wise.....mama naona anachanganya ubapari pamoja na ujamaa yaani social capitalism and opening up the country for more investment and educating people to participate at the global stage .....at some point this was...
  15. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya is the only African country in the top 10 producers of Avocados

    Wacha tuone na tunawatakia kila la heri....katiba mpya mmefikisha wapi? Nafikiri mabadiliko hapo kwa mambo fulani would drive investment like never seen before in TZ. Kuna sheria kandamizi sana Tanzania hizo zimetungwa outrightly to kill foreign investors Sent from my SM-G960F using...
Back
Top Bottom