Wadau,
Kwa hali hii, natamani vikao vya Bunge vianze kesho!!!! Hili ndilo Bunge la mseto wa ukweli.
mweee.. Vijana, Wakulima, Wachungaji, Wanawake, Wafanyibiashara, Wazee, Wanaume, Wanamuziki, Wanataaluma, Mafisadi, Waganga wa kienyeji, Waadilifu... yaani ni fulu mixi. Asalaaale...