Dingswayo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 4,019
- 2,923
Umesema sawa. Hili la wanafunzi wa vyuo vikuu kunyimwa haki yao ya kupiga kura inaweza ikatymiwa kama fursa ya wao kuwahamasisha wapiga kura waliopo katika sehemu wanazoishi kwa kuwaonyesha hadaa za ccm na kuwahamasisha jamaa zao kupiga kura kwa busara.Ccm inajua kuwa katika taasisi za vyuo vikuu hawana mtaji. Wameamua kuwatawanya ili kwamba kama wanafunzi walijiandikisha wakiwa chuoni basi hawatapiga kura.hii yote ni janja ya ccm tu.
Lakini nafikiri ni vyema sasa wasomi hawa wakapeleka elimu kwa wanakijiji kuhusiana na hali halisi ya maisha ya mtanzania wa leo.fikra pevu na zenye kuzaa matunda,fikra endelevu.ni wajibu wetu kufanya haya.