Recent content by BwanaX

  1. BwanaX

    JamiiForums Tanzania Picha: Kijana wa Arusha aolewa na mzungu UK

    Wacha niongezeee moja kati ya 10 nilizonazo!
  2. BwanaX

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi ya Ulinzi (Nafasi 10)

    Kampuni ya ulinzi ya 24 Security (T) Ltd yenye makao yake makuu mkoani Dar es salaam, inapenda kuwatangazia nafasi za kazi ya Ulinzi (Nafasi 10) kwa vijana walioko Dar es Salaam. Sifa Za Muombaji: o Awe raia wa Tanzania o Awe amepitia mafunzo ya Ulinzi, Mgambo, JKT o Asiwe na historia...
  3. BwanaX

    JamiiForums Tanzania Natafuta Fundi wa Gate za umeme haraka

    Thanks. Pa1 kaka
  4. BwanaX

    JamiiForums Tanzania Anahitajika haraka Fundi wa Gate ya Umeme

    Thanks nmekusoma
  5. BwanaX

    JamiiForums Tanzania Anahitajika haraka Fundi wa Gate ya Umeme

    Thanks mkuu nmekupata
  6. BwanaX

    JamiiForums Tanzania Anahitajika haraka Fundi wa Gate ya Umeme

    Niko Dsm Mwananyamara kaka.
  7. BwanaX

    JamiiForums Tanzania Anahitajika haraka Fundi wa Gate ya Umeme

    Niko dar mwananyamara
  8. BwanaX

    JamiiForums Tanzania Anahitajika haraka Fundi wa Gate ya Umeme

    Habari? Natafuta fundi wa gate za umeme, anayeweza kufanya installation kuanzia mwanzo mpaka kumaliza. Tuwasiliane PM
  9. BwanaX

    JamiiForums Tanzania Natafuta Fundi wa Gate za umeme haraka

    Habari? Natafuta fundi wa gate za umeme, anayeweza kufanya installation kuanzia mwanzo mpaka kumaliza. Tuwasiliane PM
  10. BwanaX

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naolewa wiki ijayo, nahitaji ushauri kwa wazoefu na ndoa

    Naomba uni PM please Single Mother
  11. BwanaX

    JamiiForums Tanzania Kwanini T. B. Joshua kaikanyaga ardhi ya Tanzania Pekupeku?

    Ukisema pekupeku mi naelewa bila kondom...fafanua jamaa!!
  12. BwanaX

    JamiiForums Tanzania Kufa ni kufanya nini?

    Shortly Kufa ni kulala...kama sasa hivi hapa asubuhi nimetoka kitandani kufa!!
  13. BwanaX

    JamiiForums Tanzania Je, unamfahamu mgombea Urais kupitia chama cha TLP Macmilan Lyimo

    First gentlemen!
  14. BwanaX

    JamiiForums Tanzania Je, unamfahamu mgombea Urais kupitia chama cha TLP Macmilan Lyimo

    Nilikuwa nafatilia kipindi kinachorushwa na ITV kuhusu historia ya mgombea urais kupitia chama cha TLP ndugu Macmilan Lyimo. Kwa wale mnaotaka kupgia kula CCM nawashauri mpigie Lowassa mkishindwa kabisa mpgieni huyu jamaa, makomeo mtajuta.
Back
Top Bottom