BwanaX
Senior Member
- Mar 5, 2015
- 123
- 46
Kampuni ya ulinzi ya 24 Security (T) Ltd yenye makao yake makuu mkoani Dar es salaam, inapenda kuwatangazia nafasi za kazi ya Ulinzi (Nafasi 10) kwa vijana walioko Dar es Salaam.
Sifa Za Muombaji:
o Awe raia wa Tanzania
o Awe amepitia mafunzo ya Ulinzi, Mgambo, JKT
o Asiwe na historia ya ualifu ama kufukuzwa kazi
o Awe na umri kuanzia miaka 18 mpaka 30
Maombi yote yatumwe kwenda kwa;
https://www.facebook.com/hashtag/nafasi_za_kazi_ya_ulinzi?source=feed_text&story_id=1024832147583749