Recent content by Bwana Mapesa

  1. Bwana Mapesa

    JamiiForums Tanzania Hawa Marefa wasipodhibitiwa watatuharibia mpira

    Nikiiangalia Yanga ya GSM , naikumbuka Home Shopping Center.[emoji56][emoji56][emoji56]
  2. Bwana Mapesa

    JamiiForums Tanzania Video: Makonda yamkuta makubwa, Ghalib wa GSM adai nyumba yake

    Braza umeongea kwa uchungu sana.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  3. Bwana Mapesa

    JamiiForums Tanzania Zuio la magari ya kigeni kupakia mizigo ya Transit inayoenda nchi tofauti na ilikosajiliwa

    Hapana ,hujaelewa mkuu, waraka unamaanisha kama umesajili gari yako Rwanda na upo Tz utaruhusiwa kubeba mizigo ya Transit inayokwenda Rwanda tuu. Haitowezekana uwe na gari yenye usajili wa Rwanda halafu ukabeba mzigo wa kwenda Congo.[emoji120][emoji120]
  4. Bwana Mapesa

    JamiiForums Tanzania Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

    Wanaweza kufanya namna sheikh wangu.[emoji23][emoji23]
  5. Bwana Mapesa

    JamiiForums Tanzania Strategy nyuma ya Mbowe, Sabaya na IGP kuitwa kuwa mashahidi wa upande wa utetezi (FreeMan Mbowe)

    Habari Wanajamvi? Nilivyosikia majina ya Sabaya , IGP Siro nikasema lazima Mawakili wa utetezi have a strategy in play. Obvious Sabaya na Siro wata- turn hostile. Kwa maana nyingine ushahidi watakaotoa mahakamani hautokuwa unambeba au kumpa support Mbowe ambae kimsingi ndiye shahidi ambae...
  6. Bwana Mapesa

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuchoma tena vifaranga kutoka Kenya?

    Jamani si watugaie kama samaki wa Magufuli. Wanachoma moto tena? Sasa huko ni kuadhibu viumbe wasio na hatia, sasa Kosa la vifaranga liko wapi hapo.?
  7. Bwana Mapesa

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwana JamiiForums Charity Kasubi afariki dunia

    Charity amekufa kwa ajali ya gari. [emoji120][emoji120]
  8. Bwana Mapesa

    JamiiForums Tanzania Musiba Cyprian kwa njia hii haumtetei Rais ila unamuaibisha, na kuwadhalilisha wanaomtetea kwa hoja

    Ukiweka hizo hoja za msingi ndo utashindwa kabisa kumtetea. [emoji3]
  9. Bwana Mapesa

    JamiiForums Tanzania What is it about him that they don't like?

    Col Ghaddafi tried and yet people whom he spent his life fighting for them are the one who slaughtered him like a pig.
  10. Bwana Mapesa

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuliona jengo la Yanga FC, nimeanza kuamini uchawi upo

    Tuwekee picha za hilo jengo la Yanga
  11. Bwana Mapesa

    JamiiForums Tanzania Nimefail kui-hack jamiiforums

    Hacker ni kama Mchawi, huwa asandi kirahisi hivi.. Umejaribu
  12. Bwana Mapesa

    JamiiForums Tanzania Did he flee to Canada?

    Bumbui
  13. Bwana Mapesa

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Mkutano wa 16 wa bunge kuanza tarehe 2 Sept, Mbunge wa Singida Mashariki kuapishwa

    Watakuja na application under certificate of urgency sababu kama wasipozuia their case will have no legs to stand.
  14. Bwana Mapesa

    JamiiForums Tanzania Inasemekana Rais John Pombe Magufuli mapema leo ameongea kwa njia ya simu na mwenzake wa Afrika Kusini Ndugu Ramaphosa.

    Ramaphosa ana influence sana kwenye mahakama za SA kumbe?
Back
Top Bottom