Recent content by Bwana Chiniko

  1. Bwana Chiniko

    Naomba mniondolee utata huu kati ya Tecno C8 na C9

    Asante sana, vipi kwa upande wa Camera? maana napenda sana simu yenye kamera nzuri
  2. Bwana Chiniko

    Naomba mniondolee utata huu kati ya Tecno C8 na C9

    Ndio unijuze mkuu, nahitaji mawazo yenu, kwani hizi sio imara?
  3. Bwana Chiniko

    MSAADA : BMW 5 SERIES 2007 Vs TOYOTA CROWN ATHLETE 2008

    Kwa mara nyingine tena, nimeona nimalize kiu na utata uliokuwa ukinisumbua kwenye kichwa changu kwa muda mrefu. Mada mezani ni kati ya Bmw 5Series 2007 na Toyota Crown Athlete 2008, ishu imekuja kufuatia ubishani uliotekea baina ya magari haya mawili ya kampuni tofauti. Nikianzia na BMW...
  4. Bwana Chiniko

    Naomba mniondolee utata huu kati ya Tecno C8 na C9

    Habari zenu wataalamu wa jukwaa hili, matumaini yangu wazi kabisa hamjambo na mnaendelea vizuri. Nimepatwa na utata kidogo kuhusiana na simu aina ya Tecno C9, hiyo ni baada ya kuchanga viela vyangu na kutaka kununua. Kikwazo kilianza baada ya kuanza kuulizia sifa zake, wapo walioniambia sio...
  5. Bwana Chiniko

    Lulu, Idris wazua tafrani

    Nyota ya muigizaji Elizaberth Michael 'Lulu' imeonekana kuendelea kung'ara baada ya kutajwa na aliyekuwa mshindi wa shindano la Big Brother Africa{BBA}, Idris Sultan kuwa ndiye staa wa kike wa kibongo anayevutiwa kuzaa naye. Lulu kwa sasa yuko mapenzini na bosi wa kituo kimoja cha redio na...
  6. Bwana Chiniko

    Napiga bei raba zangu bei poa kbs

    Nyie sio watu wa mchezo mchezo
  7. Bwana Chiniko

    Msaada: Tutoeni ushamba mimi na mke wangu

    Naomba unipatie link yake mkuu
  8. Bwana Chiniko

    Msaada: Tutoeni ushamba mimi na mke wangu

    Wenyewe wanajua nafahamu taratibu zote hizo, isitoshe nikiwambia utani utakuwa mwingi sana, maana nawaelewa hawa jamaa zangu, itakuwa wimbo wa Taifa.
  9. Bwana Chiniko

    Msaada: Tutoeni ushamba mimi na mke wangu

    Heshima kwenu wakubwa zangu wa jukwaa hili na marahaba kwa wale wote niliowatangulia kuliona jua. Mimi na mke wangu tumefunga ndoa takatifu wiki moja iliyopita, hivyo tukapanga tukatembee nchini Afrika Kusini. Maana tangu kuzaliwa kwetu hatujawahi fika katika nchi hiyo na sio siri wote...
  10. Bwana Chiniko

    Plot4Sale Nauza kiwanja heka 4 madale kisauke

    Labda umekariri ndugu, pili huenda ukawa sio mzoefu wa maeneo yanayouzwa huku, mwisho kabisa kimfaacho mtu ni chake
  11. Bwana Chiniko

    Plot4Sale Nauza kiwanja heka 4 madale kisauke

    Hapana sipafahamu kwa huyo mtu
  12. Bwana Chiniko

    Plot4Sale Nauza kiwanja heka 4 madale kisauke

    Habari za asubuhi ndugu zangu wa Jamii forums, natumaini kwa kudra za mwenyezi Mungu wote ni wazima wa afya. Kama Tangazo linavyojieleza hapo juu, nauza kiwanja cha heka 4 kinauzwa kipo Madale kisauke hakipo mbali na barabarani. Inategemea utahitaji kwa heka zote au kwa moja, heka moja...
  13. Bwana Chiniko

    Mapenzi yanauma jamani...

    mapenzi ni fumbo kubwa
Back
Top Bottom