Napiga bei raba zangu bei poa kbs

Napiga bei raba zangu bei poa kbs

Raba mbili au pea mbili?...naona unaisoma
 
Habari zenu waungwana wa jukwaa hili.

Kama tangazo linavyojieleza, kimfaacho mtu chake.

Nauza raba zangu mbili, nimezivaa kwa takribani mwezi mmoja.

Zipo kwenye hali nzuri kabisa, size ni 10uk.

Nimeamua kuziuza sababu zimekuwa kubwa kwangu.

Raba zenyewe ni 'Air Jordan Retro 1-High Top(Black & White)' na 'Allstar Converse sneaker low-top(Black & White).

Nimeambatanisha na picha zake.

Bei kwa zote ni elfu80,..mazungumzo yapo.

Mawasiliano - 0717 54 73 25.

Karibuni sana.View attachment 396583
View attachment 396584View attachment 396585View attachment 396586View attachment 396587View attachment 396588
Na mimi nikivivaa haviwezi kuwa vikubwa baada ya mwezi?
 
Mwe! sijui nisemeje nimekosa hata chakuongea, labda tu nimuombe Rais wangu Mhe. JPM aachie kidogo mnyororo wa fedha maana mwishowe watu watauza hata magodoro wanayolalia na familia zao😀😀
 
Bora umeamua kujiokoa na mali yako,kuliko kwenda kuiba.
 
hahahhahahahah raba zinakuwa kubwa,, loool:

Ila ulikuwa unavaa na soksi mkuu? maana fungus ni noma,,,
 
Ukweli utakuweka huru tusidanganyane wakuu hali ni tete street mzunguko wa fedha ni mdogo kuliko ulivokua
 
Sox zake zipo? Sh ngap
Nanunua used boxer pia kwa bei poa sana
[emoji1][emoji1][emoji1]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom