Recent content by bwaiseekwetu

  1. B

    JamiiForums Tanzania HOJA Ombi la ufafanuzi kuhusu hali ya maombi ya ajira TAKUKURU

    Kwa uzoefu wangu ukichaguliwa kwenda Kozi ya TAKUKURU CCP, Mkurugenzi Mkuu hukutumia barua ya WITO WA KUSHIRIKI MAFUNZO kwenye Email yako hivyo maelekezo yote ya kuripoti CCP tarehe nk huwa kwenye Barua hiyo.Sasa kama hujatumiwa Barua basi elewa hukuchaguliwa
  2. B

    JamiiForums Tanzania MO29 ilinifanya nijitathmini upya uwezo wangu wa kukimbia. Sikuamini mpaka wanawake walikuwa wakinipita kama nimesimama

    muda wa kuandika Ngonjera ndefu hii unaupata wapi??
  3. B

    JamiiForums Tanzania Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE) Waungana na CFA East Africa kutoa Mafunzo ya CFA

    Nina Hisa NMB Bank, nikitaka kuuza utaratibu ni upi wa kuufuata??
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mambo muhimu niliyojifunza katika maisha yangu ya kuajiriwa

    ndugu TAI DUME,vipi Boss KJ bado yupo hai mpaka leo?
  5. B

    JamiiForums Tanzania Aliyeona CHADEMA wakitoa misaada kwa wananchi wa Hanang kama walivyofanya CCM naomba aniwekee hapa picha au video yake

    Shahawa mbovu zinaleta MACHOKO mitaani kama LUCAS MWASHAMBWA
  6. B

    JamiiForums Tanzania The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Wanangu wa Aston Villa kina Douglas Luiz,Watkins nk msiniangushe leo,nipigieni hizi pimbi leo zimeshaanza kuchoka,kazeni hazina maajabu siku hizi
  7. B

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Sawa tusubiri tuone,NYUMBU mnavurugana dressing room sisi tunagonga kwenye mshono Uwanjani
  8. B

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Na leo tunawagonga palepale kwenye mshono NYUMBU ninyi
Back
Top Bottom