bwaiseekwetu
Senior Member
- May 29, 2022
- 144
- 431
Una Cheti cha JKT kwa nini hujaenda Depo Polisi?? wenzako wameripoti Depo CCP juzi tarehe 2!!na pia nimeona Jeshi la Zimamoto nao wametangaza kazi!! anyway Mkwawa mitaa yangu hiyo,nilisoma Ilala Shule ya Msingi,njoo inbox kama unaweza kazi ya Receptionist Lodge lakini ArushaMimi ni Binti wa miaka 21
nina elimu ya kidato cha nne cheti cha jkt na ujasiriamali pia.
Nina ujuzi wa secretary level 2 nipo mkoa wa Iringa mtaa wa mkwawa
Natafuta kazi reception, secretary ,customer care, duka lolote, au chochote kitachoendana na hiki nilichokiandika asanteni ....![]()
