Recent content by BUZINEM

  1. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kufanya kazi ambayo siyo uliyosomea

    nenda kafanye kaka
  2. B

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi za Police

    ok thanks kaka excel
  3. B

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi za Police

    Nafasi za jeshi la police zinatoka mwezi wa ngapi? Jamani tufahamishane waungwana.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote

    Jamani acheni malumbano tumsaidie kijana if possible
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kazi Jeshi la Police

    habari zenu wauungwana naomba kujua nafasi za jeshi la police zinatoka mwezi wa ngapi kwa sisi tunaotokea mtaani
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mwaka wa Saba tangu Nimalize chuo Sina Kazi

    usichague kazi dada angu nenda hata ukalime kibarua then unafight iyo kaz unayotaka
  7. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba

    dini yeyote umri hasizidi miaka 35
  8. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba

    nashukuru kwa maoni yenu but vigezo uyo mwanamke awe mweusi,na mwembamba
  9. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba

    mimi ni kijana wa miaka 30 nafanya kazi katika kampuni ya paraguya foundation iliyopo dareslaam natafuta mchumba
  10. B

    JamiiForums Tanzania Nachukia sana hii tabia wakati natafuta kazi

    okiona ivyo kaka amna kazi bali wao wanatafuta kazi kwa mwanamke
  11. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi Yeyote

    Mimi ni kijana wa miaka 24 nimehitimu kidato cha sita 2012, nilipata bahati ya kujiunga na chuo kikuu cha Dodoma 2012-2013 kwa bahati mbaya nikakosa mkopo. Nilijaribu kufuatilia Loan Board ila sikufanikiwa hali yangu ya kimaisha kifedha ilikua sio nzuri chuoni hapo, msosi wangu ni wakulenga...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Nisaidie Kijana Mwenzako

    kaka jaribu kwenda jeshi
  13. B

    JamiiForums Tanzania Ajira kibao AZAM MEDIA

    aha aha aha amna udin wala nn wa2 mnakalili
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kuitwa interview tiGO

    unatokea mkoa gani na unaenda kufanya interview wap?
  15. B

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa 200,000/=

    Daa jaman na mm ninaitaji kufanya iyo biashara l nipo morogoro mjini ninamtaji wa 250000/=
Back
Top Bottom