Man tindwa
JF-Expert Member
- Aug 3, 2013
- 301
- 43
Kwa hiyo ulipata principle hata moja au ulikuwa na s flat coz mwaka huu wizara ya elimu ilikuwa inawatafuta watu waliosoma form six science wakawazamini diploma morogoro so jaribu kufuatilia wizara ya elimu huo mpango kwa mwaka huu utakuwaje