Mswahili hakosi la kusema. na binadamu tulivo, mtu akifanya zuri wataongea na akifanya baya wataongea pia. kwahiyo wale wote wanaotaka kuwaelekeza ukwl bac mnajipotezea muda wenu, hata useme vp km m2 kashaamua kuamini hvo hauwez kumbadilisha. mwache aendelee kuwa na fikra hzo hzo wengine wanakula bata na maendelea.
kuna kisa kifupi tu, mzazi na mwanae mmoja walikua wamepanda punda wanatembea, bac wa2 waliokuwepo wakaanza kusema yaan binadam hana huruma yaana wanamtesa punda wamepanda wote wawili najua lote hili. bac yule mzee kuskia vile akaamua kushuka kamwacha mwanae apande ye akawa antembea na punda, wa2 wakasema tena yaan watoto wa siku hz hawana adabu ye amestarehe kwa punda anamwacha babaake anatembea, bac mtoto akasema baba bac ngoja mie nitembee na punda we panda upumzike, watu wakasema pia yaan wazee wa siku hizi hawana huruma mtoto mdogo anamwacha anatembea ye kakaa tu, haki ya mtoto ikwapi, eeh yule mzee akasema embu ngoja sisi tutembee tumbebe huyu punda labda wa2 wataacha kusema lkn hawakuacha wakasema aisee wale watu watakua matahira na machizi yaan ww unatembea hlf unambeba punda badala ya punda ndo awabebe nyie. kwanzia hapo yule mzee akajua binadam hakosi la kusema.
mm nashauri km unavigezo hata km hauna dini ww omba nafasi, riziki anatoa Mungu. anachokipanga Mola binadam hawezi kupangua, ukiona umekosa kazi ucvunjike moyo, ipo cku utapata tu.