Ulipokuwa unaomba hiyo kazi ulifikiri utaitwa kuanza kazi bila kufanya interview?Habar zenu. Nimetumiwa msg na inanitaka nikafanye interview Tigo siku ya Jumamosi trh 1/3, Nami niko mkoani. Vipi hawa watu sio wababaishaji mana nisije nikapoteza nauli yangu. Ushauri pls
Customer care ya tigo ipo chini ya wahindi kama mnavyojua wahindi tena.
Msikurupuke jamani... customer care wote wa tigo wameajiriwa na agent NFT hao... sasa hawa wahindi wametokea wapi mana sijawah ona mhindi pande hzo!! Labda useme upande wa uuzaji wa cm YES ni mhindi zile sio za tigo...
Na pia NFT haijawa burned bado though kuna hati hati ya tigo kuvunja mkataba nao..
Kama umeitwa kwenye interview nenda tuu mana hujaspecify ni kaz gani wamekuitia hlf uwe unasema uliiona wapi sio unauliza tuu!!
Habar zenu.
Nimetumiwa msg na inanitaka nikafanye interview Tigo siku ya Jumamosi trh 1/3, Nami niko mkoani.
Vipi hawa watu sio wababaishaji mana nisije nikapoteza nauli yangu.
Ushauri pls
Ni hyo ison ndugu
Kuna mtu mtu alipost link hapa ya kaz za tgo customer care...yani unatuma tu cv...ni mda mrefu tangia ntume