Recent content by Busurwa

  1. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada ku unlock mbalimbali, router na modem ikiwa ni pamoja na huawei y300

    Tafadhali kama unahitaji huduma hii wasiliana kwa namba 0682295752 kwa wale mlioko Dar mtaweza kuonana na mtaalamu ila wale wa mikoani mtatumiwa CODE baada ya kufanya malipo.
  2. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania msaada kwa wataalamu wa huawei!!!

    Mimi ninaomba msaada wa ku unlock hii Huawei Y300 itumie line zote
  3. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba Msaada ku-unlock huawei y300 itumie line zote

    Jamani naomba msaada kwa mtu anayeweza ku unlock Huawei y300 inayotumia mtandao wa tigo itumie line zote hapa Tanzania. Au kama kuna mtu unamfahamu sikupenda ku Flash natamani kuifungua bila ku flash.
  4. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada ku unlock huawei y300 itumie line zote

    Ninatumia Huawei Y 300 nilinunua Tigo sasa huku niliko mtandao uko down sana natamani kutumia mtandao mwingine inagoma. Msaada
  5. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada ku unlock Huawei Ascend Y200 itumie laini zingine

    Mbona page hii haipatikani?
  6. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada ku unlock huawei y300 itumie line zote

    Jamani nina simu yangu ya Huawei y300 inatumia line moja natamani itumie line zote naomba msaada
  7. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Unaangalia mechi wewe? Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa mbezi luis bei poa

    Kuwa muwazi zaidi siyo tu kusema bei poa ni ngapi na ukubwa wa kiwanja ukoje? Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
  9. B

    JamiiForums Tanzania Padre amwagiwa Tindikali huko Zanzibar

    Changamoto ni pale uchunguzi unapochukua muda mrefu na matukio yanajirudia. Watu wanakosa Imani na amani pia. Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
  10. B

    JamiiForums Tanzania SABATO SABATO SABATO wanafunzi 8 wa teku wafukuzwa baada ya kukaidi kufanya mtihani jumamosi!

    Walipaswa tu kutumia akili ndogo sasa wakishafukuzwa wanaona ushindi ni wa nani? Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
  11. B

    JamiiForums Tanzania Madawa ya Kulevya: Matumla na Kaniki wakamatwa!

    Nchi ya dawa hii na watu hata hawakomi ingawa wanasikia kila siku watu wanakamatwa. Nahisi adhabu zao ni kidogo ndo manaana hawaachi Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
  12. B

    JamiiForums Tanzania LEMA anatafuta umaarufu wa kisiasa kwa faida ya nani?!

    Ni kweli kabisa wanaomkamata wanamuongezea tu umaarufu.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba amekiri kuhusika na movie ya Lwekatare - ashikwe na kuunganishwa kesi hiyo

    This true Bungeni siyo maali pa kutafuta sifa binafsi na vyama. Tunatamani kuona imaarufu wa kuwakilisha wananchi vizuri. Tafakari nzuri.
  14. B

    JamiiForums Tanzania TANROADS Wametema

    Ndugu unamaanisha nini kusema wametema?
  15. B

    JamiiForums Tanzania Waganga 12 wajitokeza kupambana na "jini mahaba" linalomsumbua lady jaydee

    This is too personal kwa nini kuingilia maisha ya watu na kuweka public kama wamejitokesa tuache yeye mwenyewe ndo atoe ushuhuda.
Back
Top Bottom