Recent content by bussness

  1. B

    John Heche: Itakuwa jambo la ajabu Watanzania kunyamazia ubaguzi wa Mnyeti

    Mi nadhani kikubwa wananchi wamsusie maana hajaheshimu mawazo yao waliomchagua
  2. B

    Je, naweza kumshitaki mzazi mwenzangu?

    Soma sheria ya ndoa ya mwaka 1972 kuusu custodian law utajua ufanyeje
  3. B

    Ubunge wa Tundu Lissu usitishwe

    Katiba inasema mbunge akiugua ubunge wake anaupoteza? Au mna mihemuko kisiasa mbn mwakyembe akupoteza ubunge alipokuwa mgojwa au mmesahau?
  4. B

    Askofu Zakaria Kakobe: Tanzania siyo nchi ya chama kimoja! Amtaka Rais Magufuli atubu

    Kama mungu anapingwa iweje binadamu? watanzania we should've to think big
  5. B

    Askofu Zakaria Kakobe: Tanzania siyo nchi ya chama kimoja! Amtaka Rais Magufuli atubu

    Miongoni mwa misingi ya demokrasia ni kukubali kutokubaliana hivyo tukubali kuwa na mawazo mbadala ikibidi mbn dada zetu wanavaa nguo fupi hawajaitwa wachochezi au mchochezi ni mtu anaye pingana kisiasa?
  6. B

    Kumbe wahaya ni wayaudi?

    Buhaya kingdom ukisoma history ndo kingdom pekee ambayo kabla ya wakoroni ilikuwa imefikia hatua y'all feudalism pili nitaifa ambalo lilipigana vita ndo maana ikaitwa vita y'all kagera tatu no taifa linalo kula chakula maana ya ndizi sio nafaka wala mizizi ndo taifa linalopewa chakula toka...
  7. B

    Magufuli didn’t ban all forms of politics...

    Let us be rational .the topic is too subjective than to be objective kwani majukumu ya police ni kuzuia RAIA kutekeleza majukumu ya kisiasa au kulinda usalama pale raia anapoteoeleza majukumu halali
  8. B

    Mwanamke kukuweka sero anastahili kusamehewa?

    Tulipigana maana hata yy alinishambulia
  9. B

    Mwanamke kukuweka sero anastahili kusamehewa?

    Nina mke tumeishinaye kwa miaka kadhaa juzi kati imetokea kutoelewana kati yetu ugomvi wetu ulikuwa mkubwa kiasi cha kupigana japo hakuna aliyeumia kati yetu, baadaye alikimbia police na kufungua kesi ya shambulio nilikamatwa na kuchukuliwa maelezo na kuwekwa ndani kesho yake kaja na ndugu zangu...
  10. B

    Mke wangu ananiibia pesa

    Jaman nikimwacha mtt ataathirika isitoshe hata nauli ya kesho aniachii
  11. B

    Mke wangu ananiibia pesa

    Ndugu wana JF, Nina mke nimezaa naye mtoto mmoja bahati nzuri Mungu kanijalia kazi ambayo inaniwezesha kupata mahitaji yangu ya kila siku kila mwisho wa mwezi na mpa pesa ya kununua kila kitu. Cha ndani cha kushangaza kila nikirudi home akigundua nimelewa ananisachi na anachokikuta anachukua...
  12. B

    Ili upate furaha ya milele zingatia yafuatayo

    Sorry sim imezima sijamaliza kuandika post si mnajua umeme
  13. B

    Ili upate furaha ya milele zingatia yafuatayo

    Neno furaha ni gumu kulielewa kwa lugha ya wenzetu kuna tofauti kati ya happiness na pleasure tofauti yake ni kwamba pleasure ni temporary happiness na happiness ni permanent pleasure hivyo hakuna mtu yeyote mwenye happiness bali tunapata temporary happiness ambayo ni pleasure so how to get...
  14. B

    Ruhusa ya talaka kanisa Katoliki, ndoa si salama tena

    Jamani taraka zinatokea kanisani maana wanatoa vyeti viwili ww na mke wako wakidai ni mwili mmoja kwann wasitoe cheti kimoja kama ni mwili mmoja
  15. B

    Jamani hata mishikaki ya buku haifiki

    Kwan ukiikata ukaichoma ukapewa na ugali wa jero Utashiba?
Back
Top Bottom